Naombeni mnisaidie

dah nikweli hakuna mdada yoyote anae weza kusema ni kwa nini huwa wanafanya hivo???? ngoja nikamuulize bibi halufu...!!!!!
 
mkuuu hatuhitaji kuachiwa Upenyo tukitaka kukuuza tunaweza..
kuna vitu kama harufu perfume , lipstick etc. ambavyo ni ngumu kuondoa harufu..

harufu ya perfume, alama ya lipstick hizo ni ushahidi kama incident ya tukio imefanyika siku hiyohiyo, lakini nguo au chochote cha kike hubaki ndani mpaka mwanamke mwingine hukikuta.

niliposema upenyo namaanisha kumuacha demu hapo getho peke yake kwa muda mreefu mwanaume unatoka, ndio atapekenyua kilakitu kutafuta chochote cha mwanamke ukimkuta atakwambia alikuwa anafanya usafi kumbe alichokuwa anakitafuta ameshakiona.
 
alikuwa anahamia kwako kiujanjaujanja.....mara mzima mzima kwako! ulichomokaje hapo mkuu?
Nakumbuka miaka ya nyuma
niliwahi kuwa na mpenzi wangu
ambaye mpaka leo
nimeshindwa kumuelewa alikuwa
akimaanisha nini.Kila
siku alikuwa akifika kulala kwangu
lazima aache nguo yake ya ndani
aliyokuja nayo na yeye kuondoka
bila vazihilo.
Mara ya kwanza na ya pili
sikuona tatizo,lakini zilipofikia
kumi na bado anaziacha
nilishindwa kuelewa
nikamuuliza,sikupata jibu lolote
zaidi ya kicheko na kikafuatiwa na
halohaloooo.Sasa ndugu zangu
naomba msaada alikuwa
anamaanisha nini huyu
mwenzangu?
Mpaka sasa nipo njia panda
cjafahamu alkuwa anamaanisha
nn!
 
Back
Top Bottom