Naombeni mnisaidie hili jambo

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,368
844
Naomba kuuliza KUNA CCTM AMBAYO MTU ANAWEZA KUPATA MSG ZA MTU FLANI ANAZOTUMIWA..... mfano mimi naweza nikasoma msg zote zinazoingia kwenye cm yako unazotumiwa na mtu yeyote kupitia cm yangu bila we kujua...... Swali ni je hii inawezekana? maana nimeshuhudia watu wawili wanalalamika...... Na kama inawezekana tupeane maujuzi
 
Dalili za kutaka kuvunja uhusiano

Kuku wa kienyeji ni Mtamu sana lakini ukimchunguza anavyokula , Loooohhh

Utashindwa kumla

Back to the topic, Inawezekana wasiliana na mtandao husika kwa hilo, watakusaidia
 
MAPENZI YANANITESA NIPENI USHAURI

Nimefikiria kwa muda mrefu naona nazidi kupoteza muelekeo. Naombeni ushauri wenu wa mawazo naweza kufarijika kwani nipo njia panda. Kuna kaka nilikutananae tukaanza kupendana kama unavyo jua mapenzi yanavyo anza, alinieleza kila kitu kuhusu yeye kubwa aliniambia anampenzi wake lakini wanapenda kuishi wote kigezo dini zao ni tofauti hivyo uwezekano wa kuendelea kuwa wote ni mchache mimi nili mkubalii kwani nilikuta tayari nimeshaanza kumpenda sana.

Hivi sasa mm nina mimba, na yeye ananiambia na yule mpenzi wake pia anamimba mimi sikujali. Ananilazimisha nikatoe mm sipo tayari nimemwambia sitakusumbua kwa lolote kwani mimi nina kazi yangu lakina haelewi ananitafutia mpaka watu waje wanishauri nikatoe. Naombeni ushauri nifanyaje kwani sijielewi kwani bado nampenda sana.
 
Naomba kuuliza KUNA CCTM AMBAYO MTU ANAWEZA KUPATA MSG ZA MTU FLANI ANAZOTUMIWA..... mfano mimi naweza nikasoma msg zote zinazoingia kwenye cm yako unazotumiwa na mtu yeyote kupitia cm yangu bila we kujua...... Swali ni je hii inawezekana? maana nimeshuhudia watu wawili wanalalamika...... Na kama inawezekana tupeane maujuzi

iko website ya hii kazi................ila ni ya kulipia.............
 
Usimsikilize yeye wala hao watu anaowatuma, zaa wala usidhubutu kuitoa hiyo mimba ni mtihan wa maisha pambananao huwezijua MUNGU kakupangia nini.
 
USIJARIBU, USIJARIBU KAMWE KUUA. KUTOA MIMBA NI KUUA KIUMBE ASIYE NA KOSA WALA UWEZO WA KUJITETEA. JE UNAJUA MUNGU AMEKUPANGIA WANGAPI? Kama mama yangu angeniua, nani angeandika ujummbe huu! Kuna watu wengi muhimu walililelewa na mama zao tu. Ikiwa kam utamuua huyo malaika na ulaaniwe usipate mtoto mwingine, kutoa mimba ni kupinga kazi ya Mungu
 
MAPENZI YANANITESA NIPENI USHAURI

Nimefikiria kwa muda mrefu naona nazidi kupoteza muelekeo. Naombeni ushauri wenu wa mawazo naweza kufarijika kwani nipo njia panda. Kuna kaka nilikutananae tukaanza kupendana kama unavyo jua mapenzi yanavyo anza, alinieleza kila kitu kuhusu yeye kubwa aliniambia anampenzi wake lakini wanapenda kuishi wote kigezo dini zao ni tofauti hivyo uwezekano wa kuendelea kuwa wote ni mchache mimi nili mkubalii kwani nilikuta tayari nimeshaanza kumpenda sana.

Hivi sasa mm nina mimba, na yeye ananiambia na yule mpenzi wake pia anamimba mimi sikujali. Ananilazimisha nikatoe mm sipo tayari nimemwambia sitakusumbua kwa lolote kwani mimi nina kazi yangu lakina haelewi ananitafutia mpaka watu waje wanishauri nikatoe. Naombeni ushauri nifanyaje kwani sijielewi kwani bado nampenda sana.
hiyo mimba ni ya kwako, yeye hana mamlaka nayo. kama hakutaki akuache na mimba yako......... ila na wewe ukishazaa usithubutu kumtafuta.............. lea mtoto wako,,,,,,,,,,,,,,,,,,, kumbuka malipo ni hapa hapa duniani......... atakutafuta tu na mwanao.......... all the best! you need it
 
hapa zipo mbili.. huyu anetaka kusoma sms za wenzake bila shaka ametumwa na CIA. SHUSHU WEWE AU WIVU TU.,!

Haya sasa mimba.. Nawe ulijiachia mno usinge mpa bila kinga. sijui hata kama mlipima kabla.. pole sana ila Mungu ni mwema sana kama ukimtumainia Mungu utayashinda hayo ni mapito tu.

usikubali kuito kwa sababu yoyote. tena napenda nikushauri ufanye uchunguzi upya. huenda huyo jamaa yako alikudanganya anakupenda.. mtu anaye kupenda hawezi kukubali au kukutaka utoe mimba. labda iwe wewe ulimwambia kuwa mimba siyo yake.. na kama alishiriki kuiweka na sasa haitaki, basi yafaa umchunguze sana. huyo anaweza kukuweka hatarini.. tambua kuna watu hawana amani majumbani mwao.,, na kila kitu kizuri wanacho.. ila wamekosa mimba tu.! mshukuru sana Mungu kwa sababu amekushirikisha katika kazi ya uumbaji.. umba tuijazeze dunia. hakika hutashindwa. na usikubali kushindwa na hila chafu za ibilisi shetani.
 
Back
Top Bottom