Naombeni mnipe ushauri wadau kama mnafahamu hii kitu!

paul kitereja

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
260
45
mimi nasoma kozi hii "bachelor of accounting in public sector accounting finance and investigation" pale mzumbe university hivi kweli ina soko!!? na je naweza nikafanya kazi katika private sectors??
 
Back
Top Bottom