Naombeni mnijuze kuhusu hili!

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habari zenu the great thinkers!
Naombeni nijulishwe kuhusu huu mfumo wa digitali unaokuja na tv zetu!
Nimesikia hizi tv zenye kichogo ndo zitakua zimefikia mwisho wake labda mpaka utumie king'amuzi
sasa vp kuhusu hizi flat screen,je na zenyewe itakua mpaka king'amuzi au zitakamata moja kwa moja?
nawasilisha
 
Back
Top Bottom