Naombeni mdundiko urudishwe Bishanga kazidi ushakunaku

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo
 
Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo

We we we we we The secretary umegusa penyewe.
Mwanamume mshakunaku huyu jamani,
Loooh!
Anajidai kumfuata yule matumbo na utumbo wake.

We Bishanga haya ndio nini ulichokifanya kule Kwa yule Lidudu matumbo?

Na tutakusuta wana Jf wote mwaka huu....
 
Last edited by a moderator:
naandaa kibwebwe mwaname mbaya huyu yaani familia yangu yote kasema tunatoka fyatanga baa
 
Yani nakwambia leo hakulaliki wala hakupikiki,
mpaka Bishanga tumsute.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana. Nimeamua kujigongea Ndovu nisije kuharibu kuharibu siku. Karibu!

Halafu Filipo tabia ya kujitenga mmeanza lini? Kama una chance kesho twendeni kwenye mbuzi choma kwa Mromboo. Kesi yote tutaifanyia hukohuko
 
Last edited by a moderator:
ngoja nijamtoe kwenye biashara yake huko tandale

Tena Shosti nenda kamtoe mzima mzima,
tuje hapa tumnyaaaambee mpaka abaki Shuuu.

He! Jamani mbona me aliniambia ni meneja wa Barclays kule Scotland?
Kumbe yuko Tandale?

Kama unasikia huko,tunakunyamba,hadi unyambike.
 
Mtafuteni Zinduna ndo kiboko yake,hadi Bishanga atasema shkamoo! Huyu jamaa ana wakati mgumu sana mwaka huu,FINCA wanamtafuta,yule mnyarwanda alokula nae pesa kamkimbia sasa hivi anahaha na ameamua achafulie watu majina ili nao waonekane ni choka mbaya kama yeye,kwa hali inavyomwendea kombo amebakiza kujifunza uchawi tu
 
Last edited by a moderator:
Too bad gfsowin anauguza na Zinduna kaishia wapi sijui namkabidhi hii kazi Madame B naomba unifundie mume kaniudhi kwenye ule uzi wa lofa mmoja anajiita somebody utumbo
kukataa kukupa hela ya kwendea guanzhou ndo yamekuwa haya?
 
Mtafuteni Zinduna ndo kiboko yake,hadi Bishanga atasema shkamoo! Huyu jamaa ana wakati mgumu sana mwaka huu,FINCA wanamtafuta,yule mnyarwanda alokula nae pesa kamkimbia sasa hivi anahaha na ameamua achafulie watu majina ili nao waonekane ni choka mbaya kama yeye,kwa hali inavyomwendea kombo amebakiza kujifunza uchawi tu
utasutwa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom