Naombeni mchango wenu wa mawazo

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Hivi karibuni miongoni mwa dada zetu imezuka tabia ya akinadada wengi kuvaa nguo ambazo zinaonesha sehemu kubwa ya matiti yao, ikibaki kuwa wazi. Takriban asilimia 60 hubaki kuwa wazi, na wengi wao huacha hadi sidiria zao zikaonekana.

Kimsingi, tabia hii - hata kama wanasema ni "fashion" - inaenda kinyume na maadili ya Kiafrika, au ya Kitanzania. Sisi - kwa utamaduni wetu - si watu wa kujianika hovyo miili yetu. Hata awali, enzi za mababu zetu, akinamama walivaa mavazi rasmi yaliyowasitiri, na hata mabinti pia. Ukitazama filamu ya ..... nimesahau jina lake... imechezwa majuzi, waigizaji wamevaa mavazi ya kale, ambayo yaliwasitiri ipasavyo.

Ningependa kupata maoni yenu, ni kwa sababu zipi akinadada hawa wameamua "kujiachia kihasara" namna hii?

Asanteni.
 
Wanauza nini? Biashara gani? Kwani mwanamke ni "bidhaa", na kama ni "bidhaa", nani anayepanga bei ya hiyo bidhaa?

Wapo walioniambia kwamba, eti kuna joto, kwa hiyo nguo ambazo inafunika sehemu ya juu ya matiti zinawapa usumbufu. Kama si kuchanganyikiwa huku? Jamani, hivi hamjui kwamba GLOBALISATION ni UTUMWA?
 
Juzi nimejuta kupanda kwenye daladala. some one was almost completely exposing her upright breasts of which it cant be hard to see even the niples
 
Hivi karibuni miongoni mwa dada zetu imezuka tabia ya akinadada wengi kuvaa nguo ambazo zinaonesha sehemu kubwa ya matiti yao, ikibaki kuwa wazi. Takriban asilimia 60 hubaki kuwa wazi, na wengi wao huacha hadi sidiria zao zikaonekana.

Kimsingi, tabia hii - hata kama wanasema ni "fashion" - inaenda kinyume na maadili ya Kiafrika, au ya Kitanzania. Sisi - kwa utamaduni wetu - si watu wa kujianika hovyo miili yetu. Hata awali, enzi za mababu zetu, akinamama walivaa mavazi rasmi yaliyowasitiri, na hata mabinti pia. Ukitazama filamu ya ..... nimesahau jina lake... imechezwa majuzi, waigizaji wamevaa mavazi ya kale, ambayo yaliwasitiri ipasavyo.

Ningependa kupata maoni yenu, ni kwa sababu zipi akinadada hawa wameamua "kujiachia kihasara" namna hii?

Asanteni.
Kwanza kabisa nadhani ni makosa kusema ni maadili ya kitanzania ! jaribu kuangalia huko nyuma hao watanzania,waafrika wote wanavaaje mavazi yao na hata kwenye sherehe mbalimbali huwa wako ktk vivazi gani ? haya twaweza kuyaita maadili ya kislamu,kiyahudi nk .na kimsingi kukaa nusu uchi kwenye hadhara ya watu si vizuri ila si maadili ya kitanzania kama tunavyojaribu kila mara kuyaita.
 
Hivi karibuni miongoni mwa dada zetu imezuka tabia ya akinadada wengi kuvaa nguo ambazo zinaonesha sehemu kubwa ya matiti yao, ikibaki kuwa wazi. Takriban asilimia 60 hubaki kuwa wazi, na wengi wao huacha hadi sidiria zao zikaonekana.

Kimsingi, tabia hii - hata kama wanasema ni "fashion" - inaenda kinyume na maadili ya Kiafrika, au ya Kitanzania. Sisi - kwa utamaduni wetu - si watu wa kujianika hovyo miili yetu. Hata awali, enzi za mababu zetu, akinamama walivaa mavazi rasmi yaliyowasitiri, na hata mabinti pia. Ukitazama filamu ya ..... nimesahau jina lake... imechezwa majuzi, waigizaji wamevaa mavazi ya kale, ambayo yaliwasitiri ipasavyo.

Ningependa kupata maoni yenu, ni kwa sababu zipi akinadada hawa wameamua "kujiachia kihasara" namna hii?

Asanteni.
Wewe angalia maisha yako,ukianza kuchunguza tabia ya 1 mmoja kuanzia jinsia fulani hadi nyingine,utashindwa,ndio utandawazi hauna budi kukubaliana nao tu,utake usitake,akili kichwani mwako mwenyewe.
 
Fashion! Lakini si unaona wanavyovutia bana! Mimi binafsi napenda at least 80% ya titi inapokuwa inonekana - you feel haihai!
 
Ni ushamba na kutokujua hasa wanachokifanya.

Binafsi, siamini kama kwa kuacha sehemu kubwa ya Mwili nje ndio unaonekana mrembo, zaidi ni kujidhalilisha.

Simple mwanamke anayeacha sehemu kubwa ya mwili wake nje ni kwamba hajiheshimu yeye mwenyewe na haheshimu jamii inayomzunguka. Naishukia sana tabia hii ila ndio hivi tena sina uwezo wa kuizuia.
 
Itabidi uzoee,nasema hivi kwa sababu kama haukujua nakujulisha....zamani kabla hatujatawaliwa bibi zetu walikuwa wakivaa majani au ngozi inayofunika sehemu ya siri tu (kiunoni) huku wakiacha maeneo yote wazi (hata matiti).Huo ndio utamaduni wetu so chukulia poa tu lakini usiache kuwashauri dada zetu kuhusu umuhimu wa kutunza maadili na kujiheshimu
 
Hivi karibuni miongoni mwa dada zetu imezuka tabia ya akinadada wengi kuvaa nguo ambazo zinaonesha sehemu kubwa ya matiti yao, ikibaki kuwa wazi. Takriban asilimia 60 hubaki kuwa wazi, na wengi wao huacha hadi sidiria zao zikaonekana.

Kimsingi, tabia hii - hata kama wanasema ni "fashion" - inaenda kinyume na maadili ya Kiafrika, au ya Kitanzania. Sisi - kwa utamaduni wetu - si watu wa kujianika hovyo miili yetu. Hata awali, enzi za mababu zetu, akinamama walivaa mavazi rasmi yaliyowasitiri, na hata mabinti pia. Ukitazama filamu ya ..... nimesahau jina lake... imechezwa majuzi, waigizaji wamevaa mavazi ya kale, ambayo yaliwasitiri ipasavyo.

Ningependa kupata maoni yenu, ni kwa sababu zipi akinadada hawa wameamua "kujiachia kihasara" namna hii?

Asanteni.

Penyeza hoja kwenye baraza la madiwani sehemu ulipo ili watunge sheria ndogo ya kuthibiti hali hii ndani ya eneo lako. Nakumbuka enzi za mwalimu wakinadada walikuwa wanachaniwa nguo kama hazikuwa za heshima. Vinginevyo NGO mojawapo hapa Tanzania ijitolee kuandaa kongamano kati ya kinadada na vijana ili hao kinadada wawaeleze vijana/wababa vaa yao inapeleka ujumbe gani maana ni sawa na kuwa na bango lisilo na maandishi, inawezekana kuna ujumbe mzito ndani ya hiyo vaa yao lakini wamekosa sehemu ya kuuwakilisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom