naombeni mawazo yenu

dah, kweli kugawana ni kujali ,
na hili ndo nahisi kabisa linaweza tokea.....lol...

Bacha huyo kaka B akikagua mbuchuchu alafu akaona hailipi labda ni four hand used lazima atamwambia kaka A.

Hapo hapo kaka A nae akisha ambiwa alafu kaka B amtose huyo binti basi ni chance ya kaka A nae kukagua je kweli hamna kitu?

Matokeo yake wote watakuwa wamezunguka na kumwacha binti wa watu akiuza sura mjini tu bila malengo yoyote.
 
Asante babu... bora wewe slow learner, wengine sio learners kabisa hasa kama mnvi zimetanda...
Chumbani nakuja bila kuchelewa na sababu nina nafasi nzuri na bb hayupo (mjukuu wako kanidokeza),
naona nije nifanye na usafi kidogo na mashuka mapya ya nyuzi za Egypt... nikiambatana na faili lenyewe..

Ujumbe kwa Cheusi umefika!!!!

Nje ya mada kidogo!

Ashadii una uhusiano wowote na homeboy wangu Steve DII? Im curious.....
 
Hahahaha Gaga unajua akipewa mmoja itaonekana mwingine kaonewa wkt yeye alikuwa wa kwanza kujuana.

Fikiria kipindi wanajuana na kaka A alafu kaka A akaamua kurusha ndoano si sasa hivi angekuwa anamegwa na kaka A.

Hapo hapo kaka A kamtambulisha kaka B kwa huyo binti alafu binti kakolea kwa kaka B yawezekana kaka A alikuwa anavuta pumnzi

Hahahaha hiyo Guinness haifikii Valuu hata kwa chembe zaidi zaidi unaweza jikuta unachezea mouse.
Huyo kaka A mzembe kweli mpaka abustiwe na kaka B ndio ajue umuhimu wa huyo dada? Nikajua guiness kwa wanawake, valuu si kwa wanaume tu maana wote tukinywa valuu itatoka cheche pale jinsi ya ukavu
 
Aaamue moja kutowapa wote lasivyo italeta ugomvi.
Lakini hapo hapo atakuja gia kuwa wewe unataka umpindue kwa kaka B angalia sana nalo.

kusema kweli shosti wangu ninavyomuona yuko hoi kwa huyo kaka B,hivyo kuwakosa wote ataidhulumu sana nafsi yake,
pia ugomvi kati ya hawa wakaka ndio jambo analoomba lisitokee maana hawa wakaka ni marafiki saana kiasi kwamba wanaonana kama ndugu,ila shosti wangu anadai tokea haka kavuguvugu kaanze wakiwa wote watatu huyu kaka A ndiye anataka atawale mazungumzo yoote,na kaka B akisema kitu kaka A anamjibu dry au anakua anamshushua fulani mwenzake.

shosti wangu amejaribu kumuonesha kaka A kuwa hayuko interested lkn kaka A anakua haelewi somo,pia huyu kaka A anaonekana anataka tu kumvurugia kaka B lkn sidhani kama ana mapenzi ya kweli.
 
Huyo kaka A mzembe kweli mpaka abustiwe na kaka B ndio ajue umuhimu wa huyo dada? Nikajua guiness kwa wanawake, valuu si kwa wanaume tu maana wote tukinywa valuu itatoka cheche pale jinsi ya ukavu

Kwani hujui kutongoza lazima upate stata? usipo pata inaweza chukua hata karne ukaja kumtongoza uzeeni.

Alafu kutongoza nayo ni sanaa lazima uwe na kipaji kweli kweli

Alafu wanawake mnashauriwa mnywe Guinness ni nzuri sana kwa wanawake munkari unapanda sana.
 
Oooops at last umenambia umuhimu wa guiness mwisho ngapi? sasa yeye kaka A kachelewa machemistry yameshakubali kwa kaka B
 
we always want what we cant have

its a human nature

cha kufanya hapo ni kumkwepa a kabisa

mpaka b aone kuwa mlango upo wazi

halafu aanze yeye kumtafuta b kwa outings

thanx the boss,
kweli nadhani itasaidia akipunguza outing na hawa watu kwa pamoja mana style ya kaka A inamfanya kaka B kuhisi kuna kitu kati ya A na shosti kumbe wapi,mana A hata heshima tena kwa shosti imepungua eti wakiwa wote watatu A anapose kama vile ni mpenzi wa shosti,sasa shosti wangu alifanya sijui ni kosa maana eti alipoona A anafanya vitendo vya kufanya B ahisi shosti na A ni wapenzi shosti wangu akataka kumdhihirishia B kuwa yeye yuko single kwa kusema eti tokea ameachana na x boyfriend wake hadhani kama anahitaji tena kuwa na mahusiano na wanaume,anasema alivyosema hivyo kaka B akamwambia kuwa asidhan kuwa wanaume wote ni wabaya na akaanzisha tena kuonesha nia.
Tatizo ni huyu kaka A ndo anakera sbb anaonesha kama vile lengo lake ni kuhakikisha wawili hawa hawawi pamoja lkn sio kama ana mapenzi na shosti wangu.

Nadhan ni wazo zuri kuwa shosti wangu ajaribu kumualika kaka B kwa outings wao peke yao.
 
Huyo kaka A mzembe kweli mpaka abustiwe na kaka B ndio ajue umuhimu wa huyo dada? Nikajua guiness kwa wanawake, valuu si kwa wanaume tu maana wote tukinywa valuu itatoka cheche pale jinsi ya ukavu

Hata mie simuelewi kaka A sbb eti hadi mwenzie aoneshe nia ndo na yeye aanze fujo.
mm naona kaka A anataka ligi tu lkn hana mapenzi na shosti.
 
Hivi hii room utaifanyia usafi kwa fagio za chelewa au utapiga deki kwa gunia?

Babu nimefundwa kwetu, chumba hupitishwa deki kuepusha vumbi maeneo
mengine na pia kuepusha vumbi hasa kwa watu wenye allergies na wazee kama wewe...lol
Kuepusha matatizo sitatumia dekio la kuinama (gunia), nitatumia zile moper ndefu...
Vipi kuna tatizo???
 
dear asha mim ni mzima,hopefuly na wewe ni mzima,
asante kwa mchango wako,
shosti wangu ana uhakika kuwa kaka B hana nia ya kumchezea,bali A ndio anaonekana kuwa hana nmalengo ya muda mrefu na shosti wangu.

Mpenzi kama amejua hilo headache anajipatia za nini???
Mwambie shosti ampashe jamaa A kua hamna lake!
 
Hahahaha Gaga unajua akipewa mmoja itaonekana mwingine kaonewa wkt yeye alikuwa wa kwanza kujuana.

Fikiria kipindi wanajuana na kaka A alafu kaka A akaamua kurusha ndoano si sasa hivi angekuwa anamegwa na kaka A.

Hapo hapo kaka A kamtambulisha kaka B kwa huyo binti alafu binti kakolea kwa kaka B yawezekana kaka A alikuwa anavuta pumnzi

Hahahaha hiyo Guinness haifikii Valuu hata kwa chembe zaidi zaidi unaweza jikuta unachezea mouse.

Fidel its not about nani kaanza kumjua dada,its about feelings,hata kaka A angeanza asingempata shosti wangu,maana shosti wangu hana feelings zozote juu ya kaka A.

kaka A nadhani analeta ligi zisizo na umuhimu sbb nadhani anadhan kaka B akimpata huyu dada,yeye kaka A ataonekana mzembe kumjua kwanza na kushindwa kuwa naye,lkn nadhan kaka B asingeonesha interest kaka A na yeye asingeonesha.
 
I get! Hata hivyo i don't trust the guys...
personally am very wary of guys ambao ni friends and
woote they are interested in me...
I could end up kutopenda woote maana wote hawanipendi
for if they did wangekua considerate kwangu..
Asha dear,tofautisha 'mapenzi' na 'tamaa' (love and lust), hizi njemba ni wazi kila mmoja anatengeneza mchongo wa kula mzigo tu hakuna mapenzi hapa ndo mana wanachorana na inavyoelkea hata shosti naye anawachora.
 
Babu nimefundwa kwetu, chumba hupitishwa deki kuepusha vumbi maeneo
mengine na pia kuepusha vumbi hasa kwa watu wenye allergies na wazee kama wewe...lol
Kuepusha matatizo sitatumia dekio la kuinama (gunia), nitatumia zile moper ndefu...
Vipi kuna tatizo???
Tatizo kubwa....moper si mambo ya wazungu?......Na umri huu babu ataweza mabo ya kizungu?...Hebu acha uvivu, njoo na gunia, inamisha kiuno chako upige deki..........!
 
Asha dear,tofautisha 'mapenzi' na 'tamaa' (love and lust), hizi njemba ni wazi kila mmoja anatengeneza mchongo wa kula mzigo tu hakuna mapenzi hapa ndo mana wanachorana na inavyoelkea hata shosti naye anawachora.

Bishanga if you look close enough you will find we are in agreement ...
 
Tatizo kubwa....moper si mambo ya wazungu?......Na umri huu babu ataweza mabo ya kizungu?...Hebu acha uvivu, njoo na gunia, inamisha kiuno chako upige deki..........!

Mi nafuata what babu wants, nakuja na gunia but nitapiga deki kwa kupiga magoti... lol
 
Mpenzi kama amejua hilo headache anajipatia za nini???
Mwambie shosti ampashe jamaa A kua hamna lake!

shosti wangu unajua ninavyokuaminia kwa mabusara,
sasa ampashaje maana kumbuka no vocal language imetumika zaidi ya lugha ya vitendo,na yeye shosti wangu atawezaje kuanzisha hayo mazungumzo wkt sisi wanawake hatuna ujasiri wa kuwaanza wanaume kwa maneo ya mapenzi,sbb yeye alitegemea huko kaka B alikokua akitaka kumtoa out ndo kaka B angeanzisha hayo mazungumzo lkn A ndo yuko mstari wa mbele kuhakikisha hawa wawili hawakutani bila yeye kuwepo,na kila kaka B alipotaka kutoka yeye na shosti peke yao kaka A alimwambie hommie wake kuwa mbona unanitenga inakuwaje mpange kwenda sehemu bila kutaka mm niwepo.

wewe unaonaje wazo la shoga kujitenga nao kwa muda,maana shoga yangu anapenda kutoka nao ili aweze kumuona kaka B sema ndo hata akimuona hawawezi kuongea cha maana coz kaka A hata choon haendi akawaacha peke yao.
mm naona shoga aache kuambatana nao kwa muda labda itasaidia.
 
Back
Top Bottom