Naombeni kuuliza.......................

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
WanaJF habari za jioni,

Ni mategemeo yangu nyote mpo salama, kuna swali napenda kuwaulizeni ili nipate kujua hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo imewahi kulipuka kwa maghala yake ya silaha kwenye kambi za kijeshi na kuleta madhara?
 
yeah...kuna rumours kwamba hata Russia,mozambique and even Zambia ila sina hakika na kiwango cha madhara na pia CHANZO chake maana hilo ndio issue kubwa
 
yeah...kuna rumours kwamba hata Russia,mozambique and even Zambia ila sina hakika na kiwango cha madhara na pia CHANZO chake maana hilo ndio issue kubwa

Thanks lakini nahitaji habari zilizokuwa za kweli ili tujiridhishe kuwa ni jambo la kawaida na swali libaki kwanini kambi zetu zipo kwenye makazi ya watu? na je hakuna uwezekano kwa lugalo na jitegemee kulipuka in near future? wamejiandaaje na kuzuia matatizo yasitokee kwenye kambi nyinginezo?
 
Mmmh! Hata sijui ila uzembe ni uzembe tu hata kama hayo mabomu yangelipuka nchi zilizoendelea.
 
hizi kambi hapo zamani kabla ya jiji kupanuka zilionekana ni nje ya mji...hata hivyo what matters ni safety caution of keeping this killing bombs regardles zipo wapi..nadhani kutokujali,kutokutoa mafunzo na pia kubania bajeti ni chanzo..jeshi linapelekwa kisiasa zaidi...kwa vita za siku hizi sidhani hata kama yanafaa tena haya
 
WanaJF habari za jioni,

Ni mategemeo yangu nyote mpo salama, kuna swali napenda kuwaulizeni ili nipate kujua hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo imewahi kulipuka kwa maghala yake ya silaha kwenye kambi za kijeshi na kuleta madhara?

mkuu cjui umewaza nn ila najua umefikiria sana kiukweli akuna na kama imewaikutokea ilikuwa ni bahati mbaya kwelikweli ila sio kama hapa tz hapa yanatokea kwa uzembe uliokithiri wala kuelezeka simple tu kwa vile uhai wa watu auna thamani
 
Kweli askari wetu wanapenda kuongelea siasa na wanatamani wawe wanasiasa na wanasahau wajibu wajibu wao .
 
Dah! mkuu nilikuwa najaribu ku google ili nione, sijafanikiwa kupata chochote.. vp salama lakini kaka? maana juzi jioni na jana ilikuwa kimya hatukukuona jamvini.....
 
Back
Top Bottom