Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni kujua kuhusu pornograph.

Discussion in 'JF Doctor' started by pilu, Mar 1, 2012.

 1. p

  pilu JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wana jf!
  Naombeni kujua {sina hakika kama limeshawahi kuzungumzwa humu} , Je
  kama unapenda kutazama mara kwa mara pornograph na mmeo /mkeo kabla ya kudo ina madhara yoyote kiafya?
   
 2. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 28
  over ......
   
 3. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,108
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 48
  Sana tu, kuna wakati itabidi utizame kwanza ndo uweze kudindisha! Na kuna wakati itafika hata ukitizama haudindishi!
   
 4. DZUDZUKU

  DZUDZUKU JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2014
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 2,588
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 48
  Inapunguza nguvu kwa mwanaume yeyote, pia hizi muvi zinzpunguza kujiamini, usiwe unaangalia mara kwa mara, do it few times a year.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2014
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,088
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 63
  Weka picha
   
 6. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #6
  Feb 5, 2014
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,224
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 48
  Kila mtu angesoma waigizaji wa huu uchafu wanavyosema vibaya, kutendewa zaidi ya wanyama, kushushiwa utu na ubinadamu, sidhani kama wangeendelea kutizama na kusherekea uchafu huo.
  Ikiwa kama unategemea huo uchafu, fahamu wewe si 'rijali' wala mbunifu.
  Haya matakataka ndio yanayohamasisha ngono kinyume na maumbile, ngono za jinsia moja, ngono ya mdomi, ngono na wanyama, ... Yote hayo huleta maangamizi makubwa sasa kwa binadamu.
   
 7. H

  Howt Lady JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2014
  Joined: Jul 15, 2013
  Messages: 1,502
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Zinapoteza nuru ya macho
   
 8. B

  Benokolongokonongose JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2014
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani sasa JF tuwe wakweli. Hivi unavyodai picha ataweka nini?KISIMA CHA UTAMU,UBOHO AU?
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2014
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,088
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 63
  Weka picha ya hilo swali lako
   
 10. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2014
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 25,107
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 113
  ina madhara....
   
 11. B

  BIMBILISAMAJI JF-Expert Member

  #11
  Feb 7, 2014
  Joined: Dec 11, 2013
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itakuathiri kisaikolojia....
   
Loading...
Similar Threads - Naombeni kujua kuhusu Forum Date
Naombeni kujua tezi dume kwa mapana JF Doctor Mar 30, 2016
Naombeni kujua njia ztazo nifikisha kua daktar kutoka clinical assistant JF Doctor Aug 30, 2014
Wataalam naombeni kujua madhara na faida(kama zipo) ya matumizi ya Konyagi JF Doctor Mar 6, 2013

Share This Page