Naombeni kujua hili baada ya kifo cha marehemu mnajimu

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Baada ya kifo cha Mnajimu aliyekuwa maarufu Africa Mashariki na Kati,Je? Ule ukurasa wa mambo ya ijuwe"NYOTA YAKO" kwenye gazeti la Nipashe itaendelea kuchapishwa wakati Mnajimu katangulia mbele ya haki? Twendeni pamoja wanaJF!
 
Mrithi si yupo? maana hata wakati alipokuwa amesafiri kwa ajili ya matibabu nje ya nchi utabiri uliendelea kuwekwa kwenye kurasa kama kawaida:nono:.
 
Back
Top Bottom