Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

Upo sahihi hujakosea mkuu.
Lakini huko Ugerman haileweki kozi gani alichukua.
itakuwa ni kozi za kijeshi nadhani za mambo ya kutumbuiza ambazo lugha yake kuu ni vitendo tu
pamoja na elimu hiyo aliyonayo akiahidiwa kupewa uwaziri na mkuu kwa fadhila ya kumpigia kampeni basi bwana Komba ataenda kwenye vile vyuo vyao kupata Phd kama wenzie (Dialo, Makongoro n.k), ili nae siku ya kuapishwa aitwe WAZIRI WA UTAMADUNI MH CAPTEN MSTAHAFU DOCTOR JOHN KOMBA,
yote kwa CCM yanawezekana
 
Haya kaka hangaika nayo iyoo..

EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969

Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974

Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976

Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979

Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990

Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988

Nilifanya kozi ya jwtz Monduli sikupata diploma nilipata kamisheni ya rais na nyota pia certificate of attendance. Vyuo vya jwtz havitoi dipoma yoyote zaidi ya vile vya kitaaluma kama cha waganga cha Lugalo nk ambavyo diploma zinatolewa na wizara ya afya. Capt Komba alipata nyota bila kuisotea kwa kutumbuiza wanajeshi by then wkt wa vita na baada ya mission kulikuwa na tabia ya Rais kutoa nyota za motisha na hizo zilitolewa kwa askari waiotoa mchango mkubwa lakini hwana uwezo na qualifcation za kuwa viongozi(maofisa) wengi walipewa kea mtindo huo na wakapanda vyeo na wakawa makamanda na ndo source ya jwtz kudumaa kumbuka kina hayati Brig Gen Nnauye, etc. Makamanda wa jwtz ni wachache sn wenye elimu inayotakiwa na hutaona weakness zao hadi wanastaafu kwa vile jwtz halina challenge yoyote kivita zaidi ya parade zilezile kila mwaka pale uwanja wa taifa. Hata ubunifu wa parade iweje hawana.

Hbr ndo hiyo!!!
 
Sasa Mbona huyu jamaa aliwahi kuchangia hata hoja moja Bungeni na hiyo degree yake amepata saa ngapi maana muda wote ni kuimba na kutumbuiza na kufanya kampeni kwa ajili ya mzee wa kaya
 
Kwa kifupi ana certificate ya ualimu grade A basi! Hizo Dip zimekaa ki CCM zaidi...Mkuu hapo juu ameweka wazi Monduli hakuna Diploma...ila Komba yeye alipewa nadhani ilikuwa ni special case.
 
Haya kaka hangaika nayo iyoo..

EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level

Lituhi Primary School Primary Certificate 1963 - 1969

Songea Boys Secondary School O-Level Education 1971 1974

Kleruu TTC Certificate 1975 - 1976

Cadet Training Unit - Monduli (Diploma) 1978 - 1979

Magdeburg - Germany (Diploma) 1988 - 1990

Chuo cha Sanaa - Bagamoyo (Diploma) 1986 - 1988

........HUKO UJERUMAN ALIKWENDA KUSOMA KOZI GANI?
Huko Monduli (CADET TRAINING UNITY) ilianzishwa lina na ilikuwa wanafundisha nini?
 
........HUKO UJERUMAN ALIKWENDA KUSOMA KOZI GANI?
Huko Monduli (CADET TRAINING UNITY) ilianzishwa lina na ilikuwa wanafundisha nini?

Sijui ujerumani ila hamna cadet training unit bali ni Tanzania Military Academy ni chuo cha maofisa wa jwtz Monduli na kilianzishwa 1972 na jeshi la china kuondoa gharama ya kutrain maofisa nje ya nchi.
 
Majungu na fitina nafikiri zimejaa jeshini kuliko uraiani. Wenye uwezo siku zote wanapigwa vita sana hawa jamaa ndo wanabaki na kudumu pote hata kwenye utawala na siasa!
 
Sijui ujerumani ila hamna cadet training unit bali ni Tanzania Military Academy ni chuo cha maofisa wa jwtz Monduli na kilianzishwa 1972 na jeshi la china kuondoa gharama ya kutrain maofisa nje ya nchi.

........
Jamaa aliyeamua kutoa kirefu cha CTU kuwa ni CADET TRAINING UNIT sio SAHIHI,herufi hizo zilikuwa na maana ya CHUO CHA TAIFA CHA UONGOZI.
Kilikuwa kinafundisha nidhamu na uongozi kwa kada wa chama pamoja na mambo ya Ujeshi,ndio maana mpaka sasa kuna watu wenye majina yao yanayoanzia na vyeo ya kijeshi.Vyeo hivyo ni vya maafisa wadogo kama luteni na kapteni,hawa baada ya kumaliza mafunzo yao hawakujiendeleza sana kijeshi bali kisiasa.mfano wao ni LUTENI MAKAMBA, LT LOWASA(yeye hakupenda kutumia cheo cha kijeshi)CAPTAIN CHILIGATI nk.
 
Nilifanya kozi ya jwtz Monduli sikupata diploma nilipata kamisheni ya rais na nyota pia certificate of attendance. Vyuo vya jwtz havitoi dipoma yoyote zaidi ya vile vya kitaaluma kama cha waganga cha Lugalo nk ambavyo diploma zinatolewa na wizara ya afya. Capt Komba alipata nyota bila kuisotea kwa kutumbuiza wanajeshi by then wkt wa vita na baada ya mission kulikuwa na tabia ya Rais kutoa nyota za motisha na hizo zilitolewa kwa askari waiotoa mchango mkubwa lakini hwana uwezo na qualifcation za kuwa viongozi(maofisa) wengi walipewa kea mtindo huo na wakapanda vyeo na wakawa makamanda na ndo source ya jwtz kudumaa kumbuka kina hayati Brig Gen Nnauye, etc. Makamanda wa jwtz ni wachache sn wenye elimu inayotakiwa na hutaona weakness zao hadi wanastaafu kwa vile jwtz halina challenge yoyote kivita zaidi ya parade zilezile kila mwaka pale uwanja wa taifa. Hata ubunifu wa parade iweje hawana.

Hbr ndo hiyo!!!

Aisee hiyo mashine (Brig Moses Mnauye) achana nayo huyo jamaa mpaka anafikia hicho cheo hakuna hata kozi moja aliyoskip ni kweli alikuwa mzuri sana kwenye mambo ya nyimbo na mambo kama hayo, lakini alipigika kikwelikweli kupata hivyo vyeo na alikwenda step by step, mi namkubali sana.
 
aliyewaambia uongozi katika sisiem unaendana na vitabu ni nani? 80 percent ya wabunge wa sisiem ni ngumbaru!! mnacheka komba ameenda buku kabisa! mnamjua mbunge wa kishapu au jimbo gani shinyanga nadhani!! form four yenyewe kafanya pepa Private Candidate uzeeni. kuna watu wanawafahamu vizuri wabunge hawa ambao any time wanaweza kuwa mawaziri!!!
 
Sasa Mbona huyu jamaa aliwahi kuchangia hata hoja moja Bungeni na hiyo degree yake amepata saa ngapi maana muda wote ni kuimba na kutumbuiza na kufanya kampeni kwa ajili ya mzee wa kaya
Muimbaji mahiri! Moja ya nyimbo zake nyingi maarufu ni ile ya mdudu aliyevamia kitanda cha baba na mama akihamasisha kampeni za ugonjwa wa AIDS. TBC hawajaionyesha muda mrefu kidogo lakini I like the song. Siasa za bungeni sijui sana uwezo wake ukoje. Labda ni guru wa kusikiliza na kushauri akiwa nje ya ukumbi wa bunge kuliko mjengoni na kuhimiza maendeleo jimboni? Maana wapo watu wa aina hiyo pia
 
Niliwahi kumuona siku moja akiwa Bungeni anachangia kweli Tanzania tunao wabunge, maana nilikaa na kujiuliza mara kadhaa na kuona huyu jamaa yupi ndio nikaanza kufatia habari zake
 
kwa kipindi kirefu baada ya uhuru watanzania "wasomi" wengi
hawakutaka kujiunga na siasa. kunawakati hata neno "msomi"
lilitumika kama kashfa na wala sio sifa. naamini kipindi hicho
"wasomi" walijiona hawatauzika kisiasa majimboni mwao. aidha,
hata miongoni mwa "wasomi" walikuwa wanashangaana kuona mwenzao
kajiunga na siasa.

miaka ya "chama kushika hatamu" tulishuhudia wenyeviti wa matawi
ya chama mawizarani na mashirika ya umma wakitokea katika kada ya
chini ya mfumo wa uongozi na mara nyingi kulitokea migongano kati
ya viongozi wa chama na wale wa wizara/shirika.

hivyo basi hata katika nyanja za ubunge wale ambao hawakuwa "wasomi"
ndio wengi wao walikuwa na uzoefu wa siasa za tanzania. hivyo basi
walioingia bungeni wengi wakawa amabao sio "wasomi".

"wasomi" walipoanza kustuka na kuamua kuingia kwenye siasa
wale wanasiasa/wabunge wasio "wasomi" nao wakaamua kula
sahani moja na "wasomi" matokeo yake ndio tunashuhudia sasa
ya wabunge kuwa na vyeti feki.

kwa hiyo tusiwalaumu wabunge wenye vyeti feki peke yao. hata wale
"wasomi" wetu wa awali pia nao wana sehemu yao ya lawama.

hima hima "wasomi" wetu wa sasa msirudie makosa yaliyofanywa na
"wasomi" wetu wa awali. jiungeni kwenye siasa sasa.
 
Josh Michael,

Li-CV la Major Komba ndilo hilo hapo.

Ukijumlisha Diploma tatu na Cerificate moja (2+2+2+1) na uzoefu nadhani yupo katika kiwango sahihi?
Tunapenda vitu rahisi kama hivi, Ndio watu, na wanasiasa wetu walivyo
 
Sasa ni uamuzi wa watu wa mbinga kumuridisha mtu kama huyu kwa ajili ya kuwa kiongozi wao
 
Nina wasiwasi hata mwenye kiti wa mkoa Iringa akagombea ubunge bwana Jah people lakini elimu hata darasa la 7 hakufika sijui wadau mnaonaje kikatiba ana haki?
 
Well said guys, anyways mimi nina msimamo tofauti na nnaomba nisieleweke vibaya CCM ina wabunge wenye PHD's, Masters na bachelors nyingi sana tena zile halali. Lakini wht the .uck r they doing???? Zaidi ya porojo na kumaintain status quo! Possibly hapa ndio tunapomiss the point. Kiongozi anayefaa anatakiwa aweje???????? Mnamkumbuka Mrema??
 
........
Jamaa aliyeamua kutoa kirefu cha CTU kuwa ni CADET TRAINING UNIT sio SAHIHI,herufi hizo zilikuwa na maana ya CHUO CHA TAIFA CHA UONGOZI.
Kilikuwa kinafundisha nidhamu na uongozi kwa kada wa chama pamoja na mambo ya Ujeshi,ndio maana mpaka sasa kuna watu wenye majina yao yanayoanzia na vyeo ya kijeshi.Vyeo hivyo ni vya maafisa wadogo kama luteni na kapteni,hawa baada ya kumaliza mafunzo yao hawakujiendeleza sana kijeshi bali kisiasa.mfano wao ni LUTENI MAKAMBA, LT LOWASA(yeye hakupenda kutumia cheo cha kijeshi)CAPTAIN CHILIGATI nk.

EL - Kumbe naye ni Luteni? Du!!
 
Back
Top Bottom