Naomben mnikarbshe wadau

AKILImuchknow

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
213
14
Mm ndo kwnz leo naingia humu kila ki2 naon kngn.Naomben mnifahmsh n jukwaa gn leny mvuto kulik yt?
 
Karibu mkuu Kinyesi Cha Ng'ombe!!
Majukwaa yote yana mvuto kutegemea na mtu mwenyewe.
Jisikie nyumbani.
 
Mm ndo kwnz leo naingia humu kila ki2 naon kngn.Naomben mnifahmsh n jukwaa gn leny mvuto kulik yt?

Jisikie upo chumbani kabisa mkuu.... Majukwaa yote yanamvuto ni wewe tu kuchagua upite wapi utokee wapi: Nahii criss ya nishati hapa bongo mkuu Kinyesi cha Ng'ombe wanajavi wanakusaka vibaya namna ulivyo bonge la dili
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana,huu ndo mtaa wa saba...hakuna ndoto za ajabu.Matusi,uongo na dharau ni maadui wakubwa wa mtaa huu!
 
Back
Top Bottom