Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Habari zenu waungwana!jaman,kama tittle ya hii thread inavosomeka hapo juu,ni mara nyngine naomba kujuzwa tofaut zlzopo kati ya BA-ECO inayotolewa 'udsm' na Bs agro-eco inayotolewa na 'Sua',nahtaji kuaply chuo lakn nashndwa ipi iwe ya kwanza as vyuo vyote viwili navipenda.naombeni mawazo yenu zaid wakuu,na matokeo yangu ya 4m 6 co mabaya sana coz nina dv 2 pts 10 combi ni HGE{History-C,geography-E,Economcs-B,General study-S,B/applied maths-S