Naombaa fahamu

not necessarily... wapo wanaoogelea kwenye fedha na bado mapenzi kwao hayapo
 
Pesa sio kila kitu kwenye mapenzi ila inaongeza ladha kwenye mapenzi..ni kama chachandu kwenye mihogo,ikikosekana mihogo italika lakini ladha itapungua..
 
Kwa siku hizi pesa ni kila kitu.

Hata mimi wanawake wenye pesa huwa nawapenda sana kuliko masikini.
 
pesa inawekwa kwenye nafasi ya mapenzi kama ndo mhimili ndo inasababisha kwa sasa kusiwepo na mapenzi .. maana ukiyumba kidogo penzi linaondoka
 
mwenye kisu kirefu ndo anakula nyama, nakubali.... na kisu ndo mafweza.... ila unaweza ukawa nayo ukaishia kupigwa changa la macho vile vile... hasa kama wewe ni kijana na channel hazikamati vizuri... mara ngapi tunaona mtu na mafweza yake na ana mke mzuriiiiiiii.......mwisho wa siku wife wake anatembea na house boy? unadhani kwa nn?
 
mmh, hiyo methali sijui usemi ni mwembamba sana kwa maana ya kwa nini mwenza anatoka nje ya mahusiano.
 
Back
Top Bottom