naomba yeyote anaye fahamu kampuni inayo husika na mazingira tofauti na nec anisaidie contacts

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
kama title ya thread inavyo eleza naomba yeyote anaye fahamu kampuni yeyote inayo husika na masuala ya mazingira anisaidie mawasiliano ya hiyo kampuni
 
kama title ya thread inavyo eleza naomba yeyote anaye fahamu kampuni yeyote inayo husika na masuala ya mazingira anisaidie mawasiliano ya hiyo kampuni

Mkuu hiyo title inasema NEC! Mbona hakuna kitu cha hicho kwenye mazingira au ulimaanisha NEMC? (National Environmental Management Council)
Kama ndivyo basi kuna jamaa wanaitwa MTL Consulting Limited

Contact zao ni
MTL Consulting Company Ltd.,
Bibi Titi Street , Seifee Mansion (Next to Raha Towers)
2nd Floor
PO Box 77894, Dar-es-Salaam, Tanzania.
Telephone/Fax: +255 22 2120882

Managing Director,
Cellular: +255 784 309251
Email:
wmutagwaba@mtlconsulting-tz.com
wmutagwaba@yahoo.co.uk

Na unaweza ukawatembelea HAPA
Kila la heri
 
Pia unaweza kuwasiliana na WWF ingawa wao ni shirika la kimataifa linalohusika na mambo ya uhifandhi wa maliasilia na siyo kampuni binafsi.

[h=4]Contacts:
WWF Tanzania,
Dar es Salaam[/h]Plot No. 350 Regent Estate Mikocheni Dar es Salaam
Tanzania
+25 522 270 0077
+255 22 277 5535
 
Back
Top Bottom