Naomba uwe rafiki yangu.

Nae yupo Jamii forumz?
maty ni dada yetu pia wapo watu wengi hapa wamesafiri wameenda kwenye shughuli ya mrembo wetu anaitwa afrodenz watarudi utawajua tu ope u will be very happy here my dear ila kumbuka rejao
 
Sasa inakuaje wewe jinsia yako ni Me then umeweka avatar ya ke? Nakushauri rakifi yangu ubadilishe avatar
@Asprini, jinsia yangu me. nimekimbia FB sbb ya kufanyiwa ushenzi sitaki huo ushenzi ujirudie ndio maana nimefunga.
 
maty ni dada yetu pia wapo watu wengi hapa wamesafiri wameenda kwenye shughuli ya mrembo wetu anaitwa afrodenz watarudi utawajua tu ope u will be very happy here my dear ila kumbuka rejao

saizi najisikia furaha tayari. na rejao sitamkaribia.
 
mmmh wamekuharibia maisha?? au ni mambo ya dating halafu wakimaliza haja zao wanapotea...teh teh pole hiyo ndo FB
 
@mpoleeee mimi natakaka tuwe wapenzi kama wewe ni ke. halafu @mpoleeee naomba acc yako ya twitter.@mpoleeee nijibu hapa hapa. over
 
Back
Top Bottom