naomba utaalam wa kulima alizeti

Mangolo

Member
Oct 30, 2011
28
11
Ndugu wana wa J F miye ni mkulima wa alizeti wa muda mrefu,lakini kipato chake kwa eka hakilipi kabisa sijui nakosea wapi
naombeni ushauri
 
Ndugu wana wa J F miye ni mkulima wa alizeti wa muda mrefu,lakini kipato chake kwa eka hakilipi kabisa sijui nakosea wapi
naombeni ushauri

Je uliwahi kuwauliza watalaamu wa udongo wa sehemu unakolimia? Mvua vipi zinatosha? Mbegu unayotumia ulipata wapi?
 
Back
Top Bottom