Naomba ushauri

ushauri wa nini na wewe hujisikii. kama ni she pita kwenye genge la wahuni saa tatu usiku usivae nguo ndani, kama ni he nenda kwa kinondoni kule makaburini utawakuta machangu kibao pita pale saa saba usiku alafu sema ninashida watakusaidia utajua tu na hiyo hamu yavitu unavyovitaka itakuja.
 
Wana jf naomba yeyote anipe ushauri, sijisikii hamu ya kufanya mapenzi, je nifanyeje?

Hujisiki kufanya mapenzi mchana,ukiwa umelewa,umebwia unga,umeshiba,umelala usiku wa manane,ukiwa kwenye kochi,au kitandani au wapi.

Toa taarifa iliyosheheni maelezo?Huyo mke wako ulimnyang'anye mwenzio ni kwanza kwako au?

kabla ya kuoana mlishawahi kumegana na ukawa hujisiki vilevile au ni tatizo lilojitokeza baada ya kumuoa?Je ukimega njee unajisikia hamu?
 
Sio mnikatishe tamaa ndg zangu. Niko serious. Nina mke wangu kabisa. Nashkuru huyo mmoja amenipa angalau nimuone doctor. Nahitaji ushauri zaidi kama upo.

Sasa nani anafanya mapenzi na mke wako kama wewe husikii hamu?
 
jaribu kuangalia blue kidogo unaweza kustimuleti, au kula kozi kwa wingi yuu neva noo maujuzi yako kwishney!.
 
Nawashukuru kwa ushauri murua taufanyia kazi ndg zangu wana Jf. Thanks a lot!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom