MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 884
Rafiki yangu ni mwl wa leseni, anakatwa pensheni, ila hana diploma wala cheti cha ualimu, lakini amejiendeleza na kupata advanced diploma ya accountancy, sasa ameomba abadilishiwe kazi na muajiri (mkurugenzi mtendaji wa wilaya) anazungushwa sana, akaambiwa eti hadi awe na Dip ya ualimu au Post graduate ya Elimu ndo anaweza kufanyiwa recategorization. Sasa afanyeje? Na hana ajira ya kudum hadi sasa? Je, ni kweli ili abadilishiwe kazi lazima awe mwl wakati Halmashauri ina upungufu wa wahasibu na yeye amesomea uhasibu? Ikoje jamani, mwenye ufahamu na mambo haya msaada wa ushauri tafadhali.