Naomba ushauri

the boss, kama housegirl alibakwa kwa nini asingemwambia mama mwenye nyumba? Kwa nini atume msg ya kuomba msamaha?

Ukiachilia mbali ubazazi wa mume, unajua mahousegirl wa siku hizi wanatime hizo golden chance za kulala na fazahausi? Wakiamini watachukua nafasi ya mke?
Sasa ukikuta mume kicheche matokeo yake ndo hayo.....

Hapo mume na hg wote wana makosa.....

Walllahi wanaume wengine balaa, unaweza kuwakata naniliu hivi hivi.......

So sad kwa mwanamke kusema hivi
unapaswa kujifunza 'aina za ubakaji'
na madhara yake ili uelewe kwa nini ni ngumu kwa anaebakwa kusema
tena wapo wanaobakwa hata kwa miaka na wanashindwa mwambia mtu

huyo house girl angekuwa mkorofi asingemuuliza mama mwenye nyumba juu ya kipimo cha mimba...

huyo house girl probably 'a naive little girl' na 'mume bazazi' ame take 'advantage'...

but mlivyo wanawake mnajali 'ndoa tu' bila kujali 'maisha yalivyoharibiwa' ya huyo msichana na bazazi..

hakuna hata mdada atakae kuja kushauri talaka hapa
you wait and seee....

dah.....where is Nyani ngabu ???????
 
ukimfukuza huyo msichana nitaamini kweli 'wanawake makatili' na ma 'selfish sana'

angekuwa ni binti wa ndugu yako je??
binti yako?
au mdogo wako wa damu?

mumeo ni 'bazazi' full stop
tena ni 'mtu hatarishi' kwani hatumii hata kinga
sasa jiulize na huko nje 'anawapitia wangapi'?

ningekuona wa maana mno kama ungem 'dirvoce mumeo' na kumsaidia huyo binti wa watu
ambae probably 'amebakwa' na mumeo bazazi....
The Boss kama binadam wa kawaida ni ngumu kwa kweli cdhani kama ingekua ndo mama mwenye nyumba kapewa mimba na housboy wake je baba mwenye nyumba angevumilia kuishi na hausboy na kumsaidia pia na mkewew ?impocbo kwa kweli so solution ni kumrudisha huyo bint kwan aliletwa kufanya kaz na cio kubebe mume wa m2,je angekataa angemlazimisha?bora ingekua imeingia kwa kubakwa aiseeeee .........bt wnaonyesha ni wapenzi na mapenzi yao yamekolea haswaaaaaaa
 
Pole sana kwa mkasa huo. Mambo hayo yanatokea sana unakuta nyumbani kuna house girl mzuri sasa baba anamtamani mama akitoka tuu baba anaomba mwisho wa siku baba anakula mzigo ndio hayo matatizo mara mimba ukishangaa kidogo beki tatu ana take over.
 
The Boss kama binadam wa kawaida ni ngumu kwa kweli cdhani kama ingekua ndo mama mwenye nyumba kapewa mimba na housboy wake je baba mwenye nyumba angevumilia kuishi na hausboy na kumsaidia pia na mkewew ?impocbo kwa kweli so solution ni kumrudisha huyo bint kwan aliletwa kufanya kaz na cio kubebe mume wa m2,je angekataa angemlazimisha?bora ingekua imeingia kwa kubakwa aiseeeee .........bt wnaonyesha ni wapenzi na mapenzi yao yamekolea haswaaaaaaa

house boy na house girl wote 'hubakwa tu'
so haiwezi fanana hii kesi
wenye nyumba ni 'wahalifu'
awe baba au mama
 
ma haose girl wengi,hutongozwa na wenye nyumba.kwa kuwa wao ni ma boss,hujiona wana power fulani hivi kwa hao wadada ambao uwezo wao wa kimaisha ni mdogo.na kama iwe kinyume chake,wewe umeshajijua una mke,huyo house akupe mitego ya kimapenzi,mlani shetani,ikibidi kumuachisha kazi umuachishe.mjali mke wako.kwani mwisho wa yote,mnasambaratisha ndoa
 
house boy na house girl wote 'hubakwa tu'
so haiwezi fanana hii kesi
wenye nyumba ni 'wahalifu'
awe baba au mama
the boss we hujui tuu wengine huwa na ndoto za kuolewa na maboss zao,niliwah ku na housgal ambae alikua na ka tabia ka kutokuvaa chupi cku za weekend au ile mida ya kurud mr jion then atahakikisha kisket alichovaa n chepes au kinabana boss wake wa kike alipokuja kugundua akadai anackia joto jaman joto gan jion na w?end tu?so uckute huyo hg alifundishwa kwao amtege boss wake ucmtetee
 
sorry hapo ni kuona hausgal
 
Wanasema "Huwa mtu anaomba ushauri wakati jibu na maamuzi tayari anayo ila hujifanya kama hana"
 
hakuna mjadala mwamshe kesho saa tisa afunge mizigo yake huku ukimsimamia, saa kumi na moja asubuhi mpandishe bus arudi kwao.

Rudi nyumbani dili na mumeo....

Kama kuna shamba boy jipoozee nae loh.....(joke)

kabla hamjaweka wasichana wa kazi majumbani chunguzeni tabia za waume zenu....kama macho juu juu hawachagui hawabagui, na hawadhamini ndoa zao... Muajiri vijana wa kiume kwa kazi za usafi ukizingatia ni wapishi wazuri tu kushinda wanawake....

Ila kama mimba ya baba mwenye nyumba yako, chukua simu kama kidhibiti, fungasheni mizigo ya huyo binti then mumpeleke kwa baba mwenye nyumba, amtunze na kumuoa......akikataa husisheni ustawi wa jamii

Nimependa hapo kwa red BADILI TABIA, natamani wanawake wote wazingatie hili
 
Pole sana mama Bhoke. Hakina dunia inaelekea pasipo. Hivi majuzi nilipata habari ya kisa km hiki kutoka loliondo ambapo mume wa ndoa alimkunja vibaya shemeji yake yaani mdogo wake mke wake na wife kumvumania live. Halikadhalika kuna thread hapo juu ame post Codon ya kaka na dada kukutwa wakiwa wanakamuana. Jamani ni matukio ya aibu kwa mwanadamu mwenye akili timamu but anyway kwasababu mumeo amekubali kwa ndiye aliye mpa ujauzito basi mkae na kumna ya kulitatua hilo kwa namna isiyoadhiri mahusiano yenu. Pole sana. "HAKIKA, WE ARE THE PROBLEM, NOT HITLER ALONE"
 
the boss we hujui tuu wengine huwa na ndoto za kuolewa na maboss zao,niliwah ku na housgal ambae alikua na ka tabia ka kutokuvaa chupi cku za weekend au ile mida ya kurud mr jion then atahakikisha kisket alichovaa n chepes au kinabana boss wake wa kike alipokuja kugundua akadai anackia joto jaman joto gan jion na w?end tu?so uckute huyo hg alifundishwa kwao amtege boss wake ucmtetee

Hata mimi nakubaliana na wewe JOJEETA, kweli kuna ambao wanakuwa na ndoto za kuolewa na maboss wao au kutaka tu kupata mshiko zaidi. Tuliwahi kuwa na hg wa type hii. Nikiridi tu home ananichangamkia sana, tena kwa kiherehere fulani yaani - anakuwa mwepesi kunikimbilia kunipokea mzigo, kunikaribisha chakula mezani, kuninawisha wakati wa chakula. Yaani hata wife akiwepo mezani, nikimaliza tu kula tayari kaishakimbilia kuninawisha, loh! wife alimtimua within a month ingawa binafsi najiheshimu.
 
Kwanza Mama Bhoke tuliza akili usije ukachukua maamuzi mabaya maana utakuwa umechanganyikiwa.

Pole sana kwa kutendwa/kusalitiwa na mumeo maana yeye kama mtu wako wa karibu alitakiwa akujali na kutofanya alivyofanya hata akisingiziwa alitegwa na housegirl.

Uamuzi utakaouchukua fikiria mbeleni utakuathiri vipi. Jukumu la kumlea huyo housegirl na mimba yake ni la mumeo wala siyo lako..

Inategemea pia ulivyoshibana na mumeo, ukimsamehe itabidi kuishi kuonyesha ulisamehe japokuwa hutaweza kusahau hiyo issue siku zote za maisha yako.
 
Hii mada nzito jamani, inahitaji busara na maombi. Kashabeba mimba ufanyeje, dingi kashajipoozea unalakufanya. Ukimfukuza unatenda isiyo haki, ukimwacha atachukua hatamu. Mrudishe kwao, ila muwe na mpango wa kumtunza mtoto. Mfundishe mumeo kutumia kinga, na pia mnunulie kwani litakalofuata ni kukuletea gongwa home. usipoziba ufa utajenga ukuta. Migitu mingine haiwezi kujizuia. Tafadahali usilipe kisasi. Dont bring houseboy.
 
unaposema baba mwenye nyumba una maanisha baba bhoke au mzee mwenye nyumba ulipopanga? Naona km post yako haina maelezo ainifu juu ya hilo

ni baba bhoke thats why nikaomba ushauri.maana nipo njia panda.
 
Hii mada nzito jamani, inahitaji busara na maombi. Kashabeba mimba ufanyeje, dingi kashajipoozea unalakufanya. Ukimfukuza unatenda isiyo haki, ukimwacha atachukua hatamu. Mrudishe kwao, ila muwe na mpango wa kumtunza mtoto. Mfundishe mumeo kutumia kinga, na pia mnunulie kwani litakalofuata ni kukuletea gongwa home. usipoziba ufa utajenga ukuta. Migitu mingine haiwezi kujizuia. Tafadahali usilipe kisasi. Dont bring houseboy.

nashukuru kwa ushauri mpendwa
 
Da, pole sana................
yaani ni ngumu sana kushauri kuhusu hili.
Yaani mimi nyumbani kwangu tulikuwa tunaishi na shemeji yangu, nilikuwa nasali kila siku asije akampa minba HG, maana sikujua kama mimba itapatikana kutoka mule ndani ningefanya nini.... utamfukuza mtoto wa watu wakati mimba ni yenu??? kichwa kinauma.....
sasa sipati picha hiyo mimba ni ya baba mwenyewe, sidhani kama kumfukuza inafaa, unampeleka wapi? kwa wazazi wake? walikukabidhi hana mimba, mumeo kampa mimba then unamfukuza...............
hapo la maana ongea kwanza na mumeo, mwambie mambo ndo yameshaharibika, yeye alikuwa na mpango gani ni hiyo mimba................. sababu hawakubakana, na waliamua kufanya bila kinga, ni dhahiri kabisa walijiandaa kwa hiyo mimba na mengine......... Ningekuwa mimi, huyo dada nisingemgusa kabisa kwa sasa, ni mpaka tutakapofikia muafaka na mume wangu......
kila la heri
 
ukimfukuza huyo msichana nitaamini kweli 'wanawake makatili' na ma 'selfish sana'

angekuwa ni binti wa ndugu yako je??
binti yako?
au mdogo wako wa damu?

mumeo ni 'bazazi' full stop
tena ni 'mtu hatarishi' kwani hatumii hata kinga
sasa jiulize na huko nje 'anawapitia wangapi'?

ningekuona wa maana mno kama ungem 'dirvoce mumeo' na kumsaidia huyo binti wa watu
ambae probably 'amebakwa' na mumeo bazazi....
isitoshe kukuta namba ya baba mwenye nyumba imepigwa siyo lazima kuwa ndio mwenye mimba. anahitaji ushahidi usio na shaka kabla haja hukumu baba mwenye nyumba
 
Da, pole sana................
yaani ni ngumu sana kushauri kuhusu hili.
Yaani mimi nyumbani kwangu tulikuwa tunaishi na shemeji yangu, nilikuwa nasali kila siku asije akampa minba HG, maana sikujua kama mimba itapatikana kutoka mule ndani ningefanya nini.... utamfukuza mtoto wa watu wakati mimba ni yenu??? kichwa kinauma.....
sasa sipati picha hiyo mimba ni ya baba mwenyewe, sidhani kama kumfukuza inafaa, unampeleka wapi? kwa wazazi wake? walikukabidhi hana mimba, mumeo kampa mimba then unamfukuza...............
hapo la maana ongea kwanza na mumeo, mwambie mambo ndo yameshaharibika, yeye alikuwa na mpango gani ni hiyo mimba................. sababu hawakubakana, na waliamua kufanya bila kinga, ni dhahiri kabisa walijiandaa kwa hiyo mimba na mengine......... Ningekuwa mimi, huyo dada nisingemgusa kabisa kwa sasa, ni mpaka tutakapofikia muafaka na mume wangu......
kila la heri

Asante kwa ushauri,kiukweli nimechanganyikiwa.
 
So sad kwa mwanamke kusema hivi
unapaswa kujifunza 'aina za ubakaji'
na madhara yake ili uelewe kwa nini ni ngumu kwa anaebakwa kusema
tena wapo wanaobakwa hata kwa miaka na wanashindwa mwambia mtu

huyo house girl angekuwa mkorofi asingemuuliza mama mwenye nyumba juu ya kipimo cha mimba...

huyo house girl probably 'a naive little girl' na 'mume bazazi' ame take 'advantage'...

but mlivyo wanawake mnajali 'ndoa tu' bila kujali 'maisha yalivyoharibiwa' ya huyo msichana na bazazi..

hakuna hata mdada atakae kuja kushauri talaka hapa
you wait and seee....

dah.....where is Nyani ngabu ???????

the boss,
bado napata shida kuamini katika 'ubakaji'....
Kwa bahati nzuri au mbaya nimeshaona mwanaume mwenye tabia ya kubaka mahouse girl...... Ingejulikana mapema sana...... Na mama bhoke angekuwa mtu wa kubadilisha mahousegirl kila leo mpaka mmoja wa hg angesema tabia ya mumewe....
Sasa Kama kweli alibakwa labda tumuulize mama bhoke huyu ni hg wa ngapi kufanyiwa hivyo na mumewe? Au mahg wanaacha kazi ghafla? Alishawzhi kutonywa tabia za kulazimishwa penzi?

Kama hayajawahi kutokea sitaamini katika kubakana, tena kubakana kisirisiri kiasi hiki.....

Kumbuka:
1. Yes kuna wanaume wanawabaka hg
2. Kuna mahg wengi wakifika kwenye nyumba lengo ni kufanya mapinduzi baridi, haya tunayaona,

na swali langulinabakia palepale kwa nini 'alivyobakwa' asimwambie mama bhoke? What if kumuuliza kuhusu preginant test ilikuwa ni njia ya kutuma msg kwamba na mie mke mwenzio?
Kwa binti mwenye maadili na heshima, attempt yoyote isiyofaa angeiripoti kwa mama bhoke au mtu mzima ili azungumze na mama bhoke kuhusu tabia ya baba bhoke........ Ka nini hakufanya hivyo?
Woga?
Alihaidiwa nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom