- Thread starter
- #21
Asante brother Kipanga. Lakini siamini kama kuuliza ni kuchemka. Ndio maana ninaamini hii forum maana najua kuna ushauri mzuri tena anonymously bila mtu kujua wala kujali wewe ni nani na umetoka wapi.
Mimi ndugu yangu sijarukaruka ila naamini binadamu kabla ya kuchukua hatua kubwa, inabidi kuuliza watu waliopo kwenye mazingira yako. Na kama mimi ndio nilivyoambiwa ni kua nyumbani kazi nzuri mpaka godfather. Ndio maana hata nikaanza kufikiria ujasirimali kama mambo huku yatabuma. Lakini kumbukuka, sio watu wote tutakuwa wajasirimali. Wengine tunahitaji wajasirimali watuajiri kama wahasibu tuweze kutunza pesa zao kwa makini. Huo ndio ukweli whether we like it or not. Asante.