Naomba ushauri

Nakushukuru sana kwa ushauri.Ila huoni haja ya kumsaidia chochote huyu mdada?
Ongea nae kwanza huyo mdada ili ujue kama yuko tayari kupokea msaada vinginevyo ukienda front atakukana utashangaa.
 
Hao watu ni kabila gani? usikute ni Wakurya wenyewe wanashow love kwa mtindo huo!!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom