Naomba Ushauri!!!!!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Niliagiza samaki sato ndoo mbili siku nne zilizopita kutoka mwanza, maeneo yetu ninayoishi tulikatiwa umeme mfululizo siku mbili. Pamoja na kujitahidi kuwakaanga wameoza, je kuna matumizi mbadala ya samaki walio oza?
 
Kama bado haujawakaanga unaweza kuwatia chumvi nyingi ili wawe N'gonda na kama umesha wakaanga wapatie paka au mbwa wanaweza kula.
 
Wapake chumvi nyingi kisha uwaanike juani, wakikauka uwasage kisha wafanye chakula cha kuku...
 
Back
Top Bottom