Mabulangati
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 796
- 164
Siku mbili zilizopita niliamka nikajisikia maumivu wakati wa kukaa nilipojichunguza nikagundua kuwa nina uvimbe mdogo kwenye anus upande numevimba kama jipu ila nilipobinya halikupasuka maumivu nikazidisha. Nilidhani rectum imetoka nnje lakini nikagundua kuwa palipovimba pameshikana kabisa na ngozi ya nje. Wanajamii mlio na utaalamu wa utabibu naomba mnipe ushauri yakinifu.