Naomba ushauri wenu

jompyain

Member
Feb 15, 2012
29
9
Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako
hiyo imekaa kama mke na mume japo ndoa bado ,lakini katika tendo la ndoa mmekubaliana msiwe peku,
baada ya muda wa miaka miine sambamba munaamua kwenda kupima kama mpo swafi ili mfanye timisho,la ndoa
majibu yanatoka mweza wangu ameukwa ,naananambia nisamehe ficha siri tuoane hiuyohiuyo, je hapo pamekaaje sialikua ananiendea kinyume.nikubali au lilale mabupande?
 
Daaah, hyo ngum kumeza yahtaj uwe na mapenz amby ht shetan atakuogopa, afu nahc stor yako ni dizain ya shigongo hakuna k2 kama hko abadan 4 yrs jst lyk dat, i dought dat
 
Kama kweli unampenda hutamkataa, kwani kuna njia zifundishwazo ni namna gani watu wenye matatizo hayo waweze kuishi bila kuambukizana. Sema na nafsi yako.
 
kiswahili chako....mmmmh

ila kua na HIV haina maana alikusality, hujui aliutoa wapi...

ila swala la kumkubali muonane mmmmh sina cha kukushauri
 
Ushauri gani unaomba hapo, hakuna mtu anataka balaa la kuwa muuwaji hapa, ukitaka kujiua jiue mwenyewe :cool2:
 
Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako
Hana mwingine zaidi yako....!
Swali haya maradhi kayapataje?
Inawezekana kabla hajakupata wewe au kwa njia nyingine.... ingawa kwa sasa hivi sio rahisi zaidi ya kujamiiana.
 
Kama hiyo miaka minne (Under assumption kwamba story yako ni ya ukweli) haijakufundisha chochote we lala tu huko mabupande(?)
 
Sidhani kama kuna mtu anaweza kukupa ushauri hapa ukawa ndio kitu cha msingi kwako.It is a bit complicated to honest with you.Cha msingi kama unampenda na wewe anakupenda angalia faida na hasara zake ikiwa pamoja na kupata ushauri nasaha na kuona wataalumu wa kujua maisha ya ndoa yatakuwaje katika situation kama hivi.

Na inabidi kumtanguliza mungu sana katika maamuzi yako
 
Kabla hujachukua maamuzi yoyote hebu kwanza muulize aliupataje..................kisha upime
 
Ukiomba ushauri ujaribu kuwa close na wanaokupa ushauri, sasa wewe tangu umeomba ushauri hapa, watu wamechangia lakini wewe umeingia mitini kimyaaaaaaa! au ndio umekwenda uko mabupande!!!! Lol!
 
Inategemea kiasi gani unampenda huyo jamaa na kiazi gani unaweza kumsamehe.
miaka 4 siyo mchezo na kukubali kuvaa socks nawe pia siyo mchezo kwani inaonyesha alikuwa anakujali sana ingawa yeye alikuwa hainjoy pamoja na socks hivyo pengine ndiyo maana alikuwa anachepuka.
 
Wala usijidanganye, achana naye, mkioana mtakuwa mnaogopana. Isipokuwa mshukuru kwa kuku-keep kwa hiyo miaka minne na kumwomba akamtafute mwenzake mwenye hivyo virusi ndipo wataendana.
 
Unajamaa ambae muko nae sambamba kwakila hali unamtimizia nae anakutimizia hana mtu mwingine zaidi yako
hiyo imekaa kama mke na mume japo ndoa bado ,lakini katika tendo la ndoa mmekubaliana msiwe peku,
baada ya muda wa miaka miine sambamba munaamua kwenda kupima kama mpo swafi ili mfanye timisho,la ndoa
majibu yanatoka mweza wangu ameukwa ,naananambia nisamehe ficha siri tuoane hiuyohiuyo, je hapo pamekaaje sialikua ananiendea kinyume.nikubali au lilale mabupande?

Its almost impossible kuwa ktk relationship for 4 years afu mnatumia kinga! HAKUNAGA HIYO KITU BEST!Kwa ambao wako serious na wanaojali hupima kabla ya kuanza ngono, hata kama sio mara tatu kama inavyoshauriwa ila hiyo ya miaka 4 kwa kinga hapo siamini!
 
kuna kesi kama hiyo naifahamu,the only difference ni kwamba baada ya kuishi pamoja miaka mitano (wakienda peku peku) katika kutaka kuoana baba mchungaji alidai vyeti vya angaza ndo majibu yakatoka mke mtarajiwa negative mme mtarajiwa positive. Hizi zinaitwa discordant couples.Walioana hivyo hivyo baada ya mke kuridhia.
 
Back
Top Bottom