Nambe
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 1,451
- 528
Dunia ina mengi, kila siku matangazo yanasema VUNJA UKIMYA, ni kwa namna hiyo tu unaweza kuwa na uhakika nn kinaendelea na mpenz wako huo ndio ushaur pekee unokufaa kwa sasa yaan, mtafute kwa namna yoyote, ujue yupo salama au hapana, baada ya hapo mengine yatafuata. sim sio njia pekee ya mawasiliano kumbuka kwa haitoshi kukuaminisha kuwa jamaa kaingia mitini, teh ingawa inawezekana coz miez 8 bila tundi mhhhhhhhhhhhhhhhh...............