Naomba ushauri wenu niolewe au?

Mkuu hii thread ni ya mwaka 2012 na hivi sasa, mleta thread kashatangulia mbele ya haki. Tumwombee apumzike kwa amani.

RIP Kanjunju. Naamini kifo chako hakina mkono wa mama mkwe.
Apumzike kwa amani
 
Mmm kumbe wakati mwingine wazazi wanaona mbali? Najiuliza ni je aliolewa na huyo mchumba wake au la, kama hakuolewa nae basi utabiri wa mamamkwe ulikuwa sahihi. Pumzika kwa amani dada.
 
Mkuu hii thread ni ya mwaka 2012 na hivi sasa, mleta thread kashatangulia mbele ya haki. Tumwombee apumzike kwa amani.

RIP Kanjunju. Naamini kifo chako hakina mkono wa mama mkwe.

Mmmh jaman ni habar za kweli hizi? bas kama ndio hivyo mods wawe wanazifuta pindi wapatapi taarifa kama hizi
 
Back
Top Bottom