Naomba ushauri wenu niolewe au?

Mother Son Relationship

A mother has undying love for her children. Her presence itself deeply affects the entire life of her little one. Our mother is the first woman in our life and cannot be replaced by anyone. A mother's love always makes her son stronger as well as balanced in his life. While a father makes his son strong enough to fight with the world, it is the mother who teaches him when and where to think from his heart.

The most delicate aspect of mother and son relationship comes, when another woman enters into his life, either as a girlfriend or as a wife. This is the time, when almost every mother starts feeling insecure and becomes apprehensive. From being the only woman in her son's life, she has to share the affection with someone, who is as important in her son's life as she is. This is the time for the son to make his mother understand that she has and will always be the most special person in his life and that someone else can never take her place. On the other hand, a mother should also understand that she has to stop holding on to her son all the time and let go of him.
hope umeelewa

Nimekuelewa dear.... ila tu mdogo wangu huu ujumbe utakua uliandikwa na mwanamke ambae hakua amewahi zaa... tena mtoto wa kiume... Haelewi the agony of losing a son.... Mwanangu wa kiume bado ni mdogo (7) but still I understand.... Hayo maneno hapo yana ukweli but mtu wa kujishusha kwa mwenzie na Mke wa mwanaume sio mama.... Nimezaa mtoto wangu wa kiume, nimemlea kwa shida baada ya babake kumtelekeza, nimemsomesha kwa vitumbua ambavo naamika kila siku alfajiri kupika ili tua mwanangu asikose ada. Nilipotingwa nimehonga mwili wangu ili mwanagu aweze enda chuo kikuu (for sina msaada).... Baada ya miaka zaidi ya ishirini ya mateso mwanangu kajikomboa sasa maisha mazuri na aweza mudu maisha yake... Ndoto yangu juu yake ya kua na maisha bora imetimia kwa juhudi zangu....

Anakuja binti ambae wamekutana tu juzi kati hapo (tena kavutiwa na hali nzuri ya maisha na mapenzi yenyewe hata si hakika kama ni ya kweli); Huyo mwanamke anakosa busara na kutomkumbusha wala kumshawishi mwanangu nitunza na nipende... How can I let go? a baby I carried for 9 months in my womb? for three year on my back? for all his years on earth in my mind and soul?

Hapo mke ndio inabdi uwe mstaarabu saana na uelewe kua Mama mke ni mtu wakuheshimiwa saana kwa kumweka mumeo alipo na kwa kumuweka dunian. Ni lazima atakua na visa.... Ila at the end of the day uki mignore, ukaonesha ni mtoto mzuri kwake na a good wife to the son... Atakuja tu kukukubali kwa mikono miwili.... Wadada/wamama tunachokosea ni ile hali ya kujipanga kwenda mpiga vita mamamke..... badala ya kujipanga kwenda mpenda mama Mkwe...

For further clarification pitia this thread of mine "LADIES Understand your Mama Mkwe"
 
sis kwani huyu dada hadi huyu mama mkwe wake anaona giza amemfanyia nini? na sio huyu tu kiukweli sis achana na mishemishe zangu hapa jf mimi mchumba wangu mama yake alifariki toka 2011 nilikuwa mdogo wala sikuwa najua kama nitakuwa na mtoto wake mana mapenzi nilikuwa sijaanza kiukweli huwa natamani kama angekuwepo
lakini nimeona mamamkwe kibao from my sisters sisi tupo 8 wanawake sita am the last one 4 wameolewa yaani kwenye iyo hesabu tu naona mamamkwe mmoja tu
bado marafiki ,majirani,kiukweli cha kusema wamama wanaharibu mahusiano ya watoto wao wa kiume,mbona wao wameolewa kwa watu bwanaa?
in your case kama mwanao umemlea vizuri sidhani kama anaweza kupata binti asie na adabu mana kumbuka ndege wanaofanana huruka pamoja
 
Huyo mama atakuwa muumini wa kanisa la Kakobe, yaani wanakuwa na imani inayowapelekea kuwa kama matahira vile.
 
Sina hakika kama anaekwambia habari ya mama yako mkwe tupilia mbali.
Mama hawezi kumtakia mwanae yasiofaa!
Mama ana play big role juu ya alichokibeba kwa tumbo 9 moons!
Hapo kuna utata !
 
Nakushauri ingia kwenye maombi ongea na mungu wako kwa kufunga na kusali kwa thati ya moyo wako,
Then baada ya hapo kaongee na mama mkwe wako km alivyoshauri dada yangu ashadii hapo juu,
Naamini majibu utakayoyapata yatakusaidia kufanya maamuzi,
Ndoa sio ishu ya kukurupukia kuifurahisha mioyo yenu peke yenu,
Ujue kbs hata mkioana hisho huyo bwana hataishi maisha yake yote kwa uhasama na mama yake,
Je siku wakielewana na akakubali matakwa na mama yake akakuacha nani atapata hasara,
Jipen mda kwanza km ni mpango wa mungu basi wakati ukifika mama mkwe atawapa baraka zote na mtaoana.
 
Mimi kuna vitu vingine huwa vinanishangaza sana kama haumpendi mtu kwanini usimwambie straight away "I don't like you and i don't want you to get married to my son" other than beating around the bush with stupid reasons eti "Anaona giza mbele" kwani wewe umekuwa shetani hadi awe anaona giza au wewe umekuwa msukule...ni bora umejua mapema vinginevyo inawezekana huko mbele ungefanyiwa visa zaidi ya hivi....hapo hakuna cha kuona giza, mwanga, mchana, asubuhi wala nini...
 
teh teh TF nipeleke kwenu bwana sijui maza ataona bahari ya moto ? mama zetu bwana
 
Huwezi ukapendwa na wanafamilia wote na damu zetu za kiswahili hizi, hao mama wakwe wengi ni problem wanaona wivu sana kwa watoto zao wa kiume, umkute mstarabu labda! Anatoa unabii wa kuvunjika ndoa yeye MUNGU? Learn from my experience hao watu hawana lolote maneno tu yani wala si wakukunyima raha! La msingi shemeji awe anampenda wasonge mbele!... angekua mstaraabu huyo mama angewakabizi kwa Mungu ili muweze kusonga mbele.....hawa wamama saa ingine bana wanaboa sababu wanakuaga na interest zao tu kwa watoto wao wa kiume.....hopeless
 
Yaani mie mtu akishaanza stori za 'kuonyeshwa' simsikilizi tena! Huyo Mungu wake anamuonesha giza tu la ndoa yenu, hakumuonesha mafuriko akaokoa maisha ya watu 30+? Tena nyie mngefunga ndoa wawili tu na rafiki zenu 2 kama mashahidi, akimaliza kuomba giza likiondoka awafanyie sherehe kubwa muunganishe na ubatizo kama sio other religious rituals!

na ukute yeye huyo mama mkwe anamatatizo kibao,lakini haonyeshwi ya kwake anaonyeshwa ya wenzie tu.au hata serikali yetu ina matatizo mengi tu,kwanini asionyeshwe ni namna gani tunasolve????watu wengine bwana hoooovyo kabisa.
 
Mimi kuna vitu vingine huwa vinanishangaza sana kama haumpendi mtu kwanini usimwambie straight away "I don't like you and i don't want you to get married to my son" other than beating around the bush with stupid reasons eti "Anaona giza mbele" kwani wewe umekuwa shetani hadi awe anaona giza au wewe umekuwa msukule...ni bora umejua mapema vinginevyo inawezekana huko mbele ungefanyiwa visa zaidi ya hivi....hapo hakuna cha kuona giza, mwanga, mchana, asubuhi wala nini...
Haaa haaa,
Nimependa ulichoandika TF.
 
nadhani hapa kuna tatizo kati ya muoaji na muolewa ..
kwanza huyo mama mkwe una hakika ni maneno ambayo ameyatamka yeye kama yeye au umepewa taarifa na muoaji?? kama umepewa taarifa basi kuna uwalakini wa maamuzi kutoka kwa muoaji hivyo yakupasa ukae naye muwekane sawa..
na kama ni kitu ambacho umekisikia kutoka kwa mama mkwe basi angalia ukaribu kati ya muoaji na mama yake mzazi na pia mazoea yao na hata maongezi yao yawezekana akatumia kama njia ya kufanya maamuzi ya muoaji
 
heri ya mwaka mpya canta mwenzangu usije pelekwa watu wakaona jehanamu?
Nashukuru mwaka nimeuona,vp huko kwenu mmeuona pia?
Mamito hii situation inatia shaka,
Ila km unavyojua mambo mengine wala hayahitaji haraka,
Kwan km ipo ipo tu ni swala la mda!
 
Nina mchumba yapata miaka minne sasa,mwaka huu ndio tulipanga tufunge ndoa.lakini alipokwenda kwao kutoa taarifa kwao wamemkatalia.mama yake amemwambia kwamba kila anapomuomba mungu wake anaona giza mbele hivyo haitaji mwanae anioe mie.na akasema anatupatia miaka mitatu hiyo ndoa itakuwa imeshavunjika.kutokana na msimamo alioonesha mchumba wangu kwa wazazi wake nimeamua tufunge ndoa lakini nikifikiria upande wa wazazi wake napata hofu.nifanyaje wapendwa?karibuni kwa maoni.

Unaona moto mbele wewe unataka kuingia kichwa kichwa
 
Glory wangu alisepa hivihivi shauri ya maombi ya akina mama! eti mama yake aliona vita kati yetu....!
 
mama wengine bwana kama wanga vile halafu wanamsingizia mungu kaonyesha giza, wala usiolewa ndg yangu huyo mama ameshatafuta sababu mapema utakwenda kupata shida na ndoa uione chungu.
 
kama una jiamini kwamba hautakuwa mzigo kwenye ndoa olewa tu akina mama wengine huwa wana waonea huruma vijana wao lakini hakuna cha giza wala ukungu.
 
Najua hapa nimejifunza kitu fulani..kipindi nilipotaka kuoa nikamwambia mama yangu nataka kuoa aliniuliza maswali mengi sana juu ya mchimba wangu baadaye akasema ngoja nifikiri na niombe then nione kama nina amani na huyo binti au la..kweli baada ya kama wiki akaniambia nimemkubali na unaweza kuomuoa na kuendelea na maisha akafurahi sana .

Nikamuuliza je usinge kuwa na imani naye nisingemuoa akaniambia hata mlangoni kwangu asingekanyaga..nikajua ni masila kumbe inshu hiko serious..sasa hilo nijaribu kwako na inakupasa ulishinde..
 
Back
Top Bottom