Naomba ushauri wana jf

chen

Member
Feb 12, 2012
64
7
nimetokea kumpenda binti mmoja ivi yoko moro na mimi niko dar ila huyu binti ana ujauzito wa miezi 5 aliopewa na mchumpa wake wazaman kiukweli maisha yake ni magumu sana kwani ana mtegemea mama yake kwa kila kitu inatokea muda mwingine wanakosa hadi mlo wacku.tatizo nikwamba ananifosi nimpe hela aitoe hiyo mimba lkn sina uwezo wakumpatia, ss anataka atumie njia ya kienyej kuitoa ila ninacho hofia anaweza poteza maisha, nifanye nini wana jf
 
Kama unamkata asiitoe na yeye kang'ang'ana muache aitoe, akishakufa ndo atajifunza!
 
Da mkuu mshauri asitumie dawa za kienyeji sometime huwa zinazingua anaweza akapoteza maisha mimi nlishafanya hivyo but alizidiwa hata kutembea akawa hawezi nilmpeleka hospital lakin ilinicost fedha nyingi in short ni bora aitunze mkuu! Msikinyime haki yake hicho kiumbe ni taifa la kesho!
 
huo ni unyama,miezi 5 ni mtoto tayari na tena anacheza tumboni.usikubali,kwani yakitokea matatizo utakuja kujuta.wengine tulilelewa kishida shida,ila kwa hapa nilipo sasa,namshukuru mungu.mwache azae na alee mtoto wake
 
Yan huna hata sh 30000 ya kumsave huyo demu ashushe hyo engine?
 
kutoa mimba ni unyama tena uuaji wa kutisha mtu yeyote mwenye roho hiyo kaa naye mbali sikunyingie atakugeukia akuue hata wewe. na wewe km unampenda kweli kwa nini usimleee huyo mtoto?????????? unaona hatari gani kumlea??????????? mwambie azae mtamlea wote na NIKUHAKIKISHIE KITU KIMOJA KWAMBA UKIRUHUSU KUITOA HIYO MIMBA UMESHIRIKI MAUAJI BALI UKIMSHAWISHI AKAZAA UMESHIRIKI BARAKA NA MUNGU ATAKUBARIKI SAAAAANA, kwan anasema nilikuwa yatima ukanilea........................ USIJARIBU KUSHIRIKI MAUAJI HAYO HATA KWA KUTOA WAZO TU.
 
nadhan kwa vile ana mchumb usiwavunjie uchumba wao . ila kama jamaa hamtak na unaelewa kwa undan kwann hamtaki basi msihukumu kiumbe. maadam unampenda penda na mwanae
 
Mwambie kuwa hauafikiani na uamuzi wake huo na asikuhusishe kwa njia yeyote ya kuitoa hiyo mimba. Ikibidi amwambie mama yake.

Je alijaribu kumjulisha huyo mwenye mzigo kuhusu hiyo hali, anaweza kubali kulea mimba maybe, lakini 5 months duuh anambeep mungu huyu dada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom