Naomba ushauri wako

SANING'O LOSHILU

Senior Member
May 19, 2012
144
11
Naomba ushauri wako:
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake but ilitiokea akaanzisha mapenzi na msichana mwingine wakawa na miadi ya kuwa wote kimaisha afu baadae kidogo akaanza kuzingua na yule mpenzi wake wa mwanzo tayari ana mpenzi sasa afanyaje!
 
huyo 'jamaa' yako anataka kufanyaje?
Hajui mtaka yote kwa pupa hukosa yote?
Alivyomtosa huyo msichana alitegemea nini? Apange mipango ya ndoa na mwingine halafu msichana wa mwanzo akae asubiri kuwa spare tyre?

Mwambie 'jamaa' yako asonge mbele atafute mwingine....
 
Pole zake... Ila the way umeelezea ni kana kwamba huyo rafiki yako tatizo kubwa ni kwamba hana mpenzi sasa. Zingatia kua yule mpenzi wake wa kwanza kamuacha mwenyewe sababa ya mwingine (ambae inawezekana alimpenda zaidi); Bahati mbaya huyo hajampenda na kampotezea... Sioni kama kuna ulazima wa kurudi kwa wazamani sababu tu huyu wasasa kampotezea... Asiwe na haraka, a relax na asubiri vitu viende kwa nafasi, With time atapata mwingine wa kuwa nae... Ila itakua sio ustaarabu kutaka kuharibu mahusiano ya wa kale na hali alimuacha mwenyewe.... Kikubwa mwambie rafikiyo mapenzi hayalazimishwi, aende taratibu.
 
Siku zote songa mbele,achana nao wote then anza upya na mwingine natumaini utakua umejifunza kutoka na makosa.....umenipa bwana Pendapenda
 
Naomba ushauri wako:
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenzi wake but ilitiokea akaanzisha mapenzi na msichana mwingine wakawa na miadi ya kuwa wote kimaisha afu baadae kidogo akaanza kuzingua na yule mpenzi wake wa mwanzo tayari ana mpenzi sasa afanyaje!

Si aendelee kufanya huo mchezo wa pata potea tu. Tanzania hii bidhaa hizo ziko tele tena zinakidhi kila mchongo mtu aupendao.
 
Aliyataka mwenyewe hiyo ni fundsho asirudie kuwafanya watoto wa wa2 mafung ya nyanya.
 
Back
Top Bottom