Naomba ushauri wako!

..uko na problem moja weye una kitu yaitwa spiritual wife/husband ndo imeku-attack( hii itaendana na jinsia yako kama we ni ke basi spiritual husband na kama we ni me basi una spiritual wife). hapo ni maombi tu yakafanyike kwa wote wawili kwani mko possessed, na bora umejitambua mapema kwani mngefika stage fulani hivi mbona ungekoma..chukua hatua
 
Nina mpenzi ambaye nimekuwa naye kwa miezi saba (7) sasa.
Ila kitu cha ajabu kinachonisumbua hadi nimefikia hatua ya kuomba ushauri ni kwamba kila ninapokuwa mbali na mpenzi wangu huwa simmiss wala kuwa na hisia zozote za kimapenzi juu yake na naweza hata kukaa mwezi mzima bila kumtafuta na wakati mwingine huwa nahisi she is not my type, lakin ninapokuwa naye karibu huwa nahisi kumpenda sana, namuona mrembo sana na huwa najihisi mwenye bahati sana kuwa naye.
Je ni nini kinasababisha nakuwa kwenye hali hii? Na nifanyeje ili niondokane na hii hali?
(kumbuka hakuna msichana yeyote ninayempenda au kuwa na hisia kwake zaidi ya huyu mpenzi wangu)

nadhan hauko sure if u really lov that gal,take some tyme to think about your felings to her:
 
umweshamwambia uyo mpnz wako ilo tatzo? Labda anaweza kujua akusaidie vp,iwe ni kwakukukumbusha km ye ni mpenzio mara kwa mara kuptia mesej au cm manake inaonekana huwa hukumbuk kabsa km una mpnz na uwajbikaj wako kwake
 
Back
Top Bottom