Benaire
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 1,958
- 306
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu sehemu ya kushoto kifuani na ubavuni...nimekwenda hospitalini mara kadhaa,nimepigwa x-ray kama mara tatu tatizo halijaonekana..badala yake nimekuwa nikipewa dawa ambazo sioni mchango wake kwa sababu hali inaendelea...sasa tumbo nalo limekuwa likinisumbua na appetite imekuwa shida kidogo....nimekunywa trinidazole,metrozole na ciproflaxin wala hazijanisaidia pia...nimepima mpaka HIV,majibu bado sijaathirika.
Je linaweza kuwa ni tatizo gani na nini naweza kufanya?
Je linaweza kuwa ni tatizo gani na nini naweza kufanya?