Habari wana Jf. Naombeni msaada na ushauri wenu! Nilikuwa nimeorodheshwa kwenye website ya Elimu nikiwa miongoni mwa wlimu wapya ( shahada). Nikiwa mwl wa Mathematics na nilipangwa wilaya mojawapo ya mjini! Nimesafiri toka mkoa ninaoshi mpaka hapa mjini! Nikiwa hapa nimepitia yale majina,cha ajabu jina langu sijaliona! Je kuna mabadiliko yoyote? Au niende tu hiyo kesho kwa mkurugenzi nikaripoti?