Naomba ushauri pls pls.........

Nawashukuruni wote ambao mmenipa ushauri katika jambo hili. It is a serious matter kuna mahali mwenyewe nakiri nimekuwa mkosaji na kuna sehemu nimebaini kuwa sio sahihi sana kwa hali iliyopo sasa. Nitaufanyia kazi ushauri wenu mlionipatia maana sikuandika hapa kwa ajili ya masihara, nilikuwa nauhitaji kwa dhati huu ushauri wenu na nawashukuruni sana sana
 
Hebu mrudi mzazi mwenzio msameheane mumlee vyema mwanenu...........................muhurumieni huyo malaika ebo!
 
Back
Top Bottom