Naomba ushauri: Ninauziwa Nashuatec Photocopier, nichukue??

Jul 21, 2012
86
21
Heshima yangu iwafikie wakuu,

Kuna mtu anataka nimpatie TShs 400,000 anipatie Nashuatec DSm 725 Africio Photocopier. Imetumika, ina toner mpya ila kwa mujibu wake, kuna kifaa cha matengenezo cha TShs 250,000 cha kununua.

Tafadhali ninaomba ushauri wenu wataalam,.

Ahsanteni sana,
Marcus.
 
Phtocopier zina idadi ya nakala za kutoa baada ya hapo "economic useful" inakuwa imeisha. Kama unahitaji kwa ajili ya kazi ndogo ndogo nenda BMTL wanazo multipurpose - Scanner, Photocopy, fax, Telephone receiver hiyo pesa yao inatosha. Kama unahitaji heavy duty, nenda kwa hao ha BMTL utapata mpya kwa bei kubwa kidogo lakini mpya Marcus Aurelius
 
Back
Top Bottom