Naomba ushauri na meelekezo ya wapi na aina ya pikipiki bora ya kike

Mama Ray

Member
Jul 11, 2011
5
1
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.
 
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.

Kitu Yamaha, kizuri kwa ladies. Mama watoto wangu anacho hiki

2010-Yamaha-Majesty-white2.jpg
 
Check with dealers from Indian wachina watakuzingua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.

Umepata ni pm namba yako utapata pikipk bora ya kike, jamaa yangu anafanya kampuni moja ya wachina , wanawake wengi wa Mtwara wanaendesha pikpik so nyingi huwa zinaenda huko mtwara wanzipenda sana na huwa zinaisha mzigo tu ukifika na nchi jirani pia ya msumbiji wanawake wangi wanazitumia, ni pm nikuelekeze kama uko dar
 
Ndugu wadau wa JF nawaomba mnishauri na kunielekeza wapi nitapata na ni aina gani nzuri bora ya pikipiki ya kike.

Piki piki ya 'kike!' Hivi kumbe piki piki ninazoziona kila siku ni za 'kiume?' Du!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Piki piki ya 'kike!' Hivi kumbe piki piki ninazoziona kila siku ni za 'kiume?' Du!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwa kweli hata mimi nilikuwa nashindwa kuelewa kama kuna "pikipiki ya kike".
 
umekumbuka nini wewe mzee???!!!

anamaanisha muda si mrefu baada ya kununua iyo pikipiki tutaimba kwetu pazuri nimeshapakumbuka,na tumpeleke dada uyu kwenye nyumba ya milele kama bado ujaelewa tutasema bwana ametoa,bwana ametwaa jina lake liimidiwe,kama bado ujaelewa watakuja wengine wakueleze zaidi
 
Back
Top Bottom