Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

Tena usijari mmaana utakua umevunja ndoa ya watu kwani huyo dada aliapa kwa shida naraha,,
 
inaonekana wote ni washobokaji yaani mnakutana kwenye gari safarini mnafikia hadi kupeana mimba? so umeshamwambia kuwa wewe una mbagu za kumpa mimba? acheni kujirahisi.
 
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?

Wewe nani amekwambia una uwezo wa kuzalisha?
 
Piga game ila angalia tigo yako isije ikaliwa na yenyewe. Ukila vya wenzio sharti na vyako viliwe
 
Duuuu,,namuonea huruma huyo dada,ninajua tatizo linalowapata wadada kama hao,,,,,je yuko kwenye ndoa?namshauri akaombewe,,hakuna kinachoshindikana kwa mungu,,,kama unawerza nipe no yake ,,,niongee nae,,
 
Usithubutu hata kumla kwa dakika tu
huyo mama ni sheitwani
 
Duuuu,,namuonea huruma huyo dada,ninajua tatizo linalowapata wadada kama hao,,,,,je yuko kwenye ndoa?namshauri akaombewe,,hakuna kinachoshindikana kwa mungu,,,kama unawerza nipe no yake ,,,niongee nae,,
Kama upo seriously, ni Pm unaweza kuwa msahada pia.
 
Kuna Sperms Departments kibao, ila zinauzwa. Tena wameweka wasifu, akitaka za akili (IQ kubwa) kama ya Newton, mabaunsa kama Big show, waanariadha km Usein bolt nk nk. Yeye ni kuchagua tu bora hela yake. Km vp piga k2 soap yeye akinge na bakuli afu ajimwangie kunako ili asikuambukize VVU pia kusev garama.
 
huna mayai? Nataka chipsi yai
huna mbegu? Nina shamba la mfano.

note: kimbia fasta, mkenge huo

Ushauri mzuri! Lakini wewe lilikushinda!

Kwangu alambe fasta, kwani kwangu ni sumu kutongozwa na kukataa hata kama na SIDA itajulikana mbele ya safari.Lakini kwa sababu anataka kupigwa chini na kuvimba juu Shurti muende AMREF@ Angaza mkaangaze
 
Habari zenu wakuu,huyu dada tulifahamiana tukiwa safarini, alinionekana kuwa mcheshi na mkarimu sana kwangu kumbe alikuwa analake,kwakuwa tulikuwa tumekaa siti moja sikusita kuongea nae mawili matatu,baada ya maongezi mengi aliniambia ameolewa ila mpaka sasa hawaja barikiwa mtoto ingawa wameshaangaika hospitalini na kwa waganga wa jadi...Kwa maelezo yake mumewe ndio anatatizo na hospitali ndivyo walivyo ambiwa.
Sasa yeye anasema anahitaji mtoto na amechoka kuishi bila mtoto na Kubwa zaidi anataka kutest kama kweli yeye hanatatizo,Ingawa nimeshauri aendelee kuwa na subra kwan ipo siku Mungu atatenda,ila anasema kama kuvumilia amevumilia sana ila kwa sasa basi....anachotaka yeye ni mimba tu na jumatano hii anakutakuja Dar kwa ajili ya kutekeleza swala hili.
Binafsi mimi nina miaka 26..
Naombeni ushauri wenu je nimtekekezee swala lake ama nimshauri vipi? Pretend kama ni wewe then ungefanyaje?

Yaani hapa ndipo ninapochoka mie.....kuwa swala hili wewe unalichukulia kama LAKE kana kwamba hutokuwa na any attachment na huyo mtoto MTAKAYEMTENGENEZA!! Ina maana utakuwa tayari kumkabidhi mwanao yeye na mumewe awe wa kwao kabisa au??
 
sikushauri umdunge mimba mke wa mtu,ni mbaya sana,lakini kama ukiona shetani kakuganda sana na ukaamua kumtii angalau basi nikupe akili kidogo ya kujiepusha na ngoma....nenda eneo la tukio na ukiwa ndomu yako na mkasi,mwambie unampa mtoto tu sio maraha ya ngono,pasha mashine yakooooo,ikiwa karibu kurusha risasi,vaa ndomu yako fast,chukua mkasi kata chuchu ya ndomu kidogooo ili "wareno" wapite,piga pump 2 au 3,wareno wakija tu chomoa!hakikisha ukipiga pump mashine haichomozi kwenye lile tundu la ndomu ulilokata kwa mkasi

n.b nimekupa ushauri wa kishetani naomba utambue hilo lakini unaweza kukunusuru na ngoma...ila jua kwamba ukifanya hivyo UTAENDA MOTONI!
 
ni kwli inawezekana,,muimi kama mimi siwezi,,ila mungu ninae mwamini anaweza,,,hajashindwa popote na ni mshindi..,,,,,,,,,,njooni kwangu ninyi msumbukao na wenye kulemewa na mizigo,,,nitawapumzisha,,,,,,,,,,,ni
 
ILa mtu wa namna hiyo unabidi uwe mwangalifu kidogo,,,,hata kama unamdirect kwa mtu angalia asijue,,sababu kaakuamini,wewe na anajua we ndo utakaemfichia zambi zake,,,mi ntajua chakumwambia,,,Msaidie na Mungu atakubariki
 
Mwambie aje na mumewe mjadili hilo, vinginevyo watakunyofoa hicho kimimbio chako
 
Back
Top Bottom