Naomba Ushauri-mavazi

Yaani nilikuwa namaanisha kuvutia bila kujidhalilisha. kuvutia huko sio lazima kufukue hisia za kimapenzi, bali kukuweka kwenye hadhi fulani watu wanaku admire na kukuheshimu that what i meant by classy. Trashy ni pale unapo over do kitu fulani na kinaishia kukufanya uonekane kituko mbele ya jamii. Kila mtu ana namna ya kutafsiri mambo, na hiyo ndo tafsiri yangu.

What about sexy?
( I know classy and trashy already)
 
"...modelling is a form of pornography. The beauty shows have been a major platform for the reduction of women from full human beings into mere objects to be admired". ~ Asher Mutsengi


With this message Lazydog ... I just come to think of Lundenga na crew yake au kuna tofauti kati ya Modelling na Beauty Peagent?...sijui? please nielimisheni kabla sijachangia hii mada
 
Mzee kumbe na huku umo !
mwili wa mwanamke si wa kuonea haya.. uzuri hupambwa... na asiye mzuri hata ajipambe vipi haongezi uzuri wake, zaidi ana uangaza ubaya wake.. mwanamke asiyejipamba kuonesha uzuri wake ni sawa na waridi lilifichwa chunguni... katika yote kila kitu kwa kiasi kwani katika maisha yangu nimegundua vitu vichache kimoja ni kuwa uzuri na wema si kitu kile kile...
 
mimi huwaga navaa ili nipendeze, nipate mvuto flani kwa jamii inayonizunguka (mfano: nguo unazovaa zinawapa watu nafasi ya kujua wewe ni mtu wa aina gani.. mstaarabu,sister duu ,malaya au vinginevyo)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom