Naomba ushauri kutoka kwa wa dada tu.

mi naona labda hupati maandalizi ya kutosha maana hata wanaume huwa wanahitaji kuchokozwa sana ili mambo yawe muswano.....sasa labda cheki na mpenzi wako mueleze hali halisi ili aongeze maujanja nawe uenjoy malovy dovy!!!
Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,maumbile yangu ya kiume ni makubwa kiasi cha kulizisha tu yani nnchi 7.3urefu na nnchi 2.1 upana,mwenzenu wakati wa kufanya mapenzi na chelewa sana kushusha mzigo kiasi kwamba mwanamke anaweza akashusha mla nne mimi mkavu!na sijawai kutumia dawa yoyote toka nizaliwe ya kuongeza nguvu wala nini na chakula nachokula ni chakawaida sana,je ni vizuri kuwa na ali kama hii,naombeni ushauli nijuwe kwani natafuta mchumba nisije achwa kisa ali hii.
 
umefurahishwa na huo upuuzi heee!ukweli ni kwamba sijawahi kufanya upuuzi huo toka nizaliwe,kwanza mapenzi ni kwa viumbe viwili vyenye jinsia tofauti wewe unafanya na sabuni si ndo mwanzo wa ushoga huo.

Aaaaahmkuu jona sio kihivo bana, mi sijafurahishwa na upuuzi huo ila tu hilo jina limenikumbusha hadhithi za kalumekenge enzi za primary ndo maana nimechekea. peace n love!!!!
 
Labda unahitaji kujitayarisha pia kiakili ili uweze ku enjoy ubongo wako pia ni mhimu kuushuhulisha
 
Hahahahahahhaaaaa! Kalumekenge!!!!
lara 1

SAM_3634.JPG
 
Be realistic! Mapenzi na hususan tendo la ndoa ni hisia. Wekeni hisia zenu pamoja na unatakiwa kumjali mwenzio kwanza. Inapendeza na inawezekana kufikia mshindo pamoja. Pia usihukumu matumizi ya "sabuni" kuwa ni upuuzi!
 
nice story,

Back
Top Bottom