Naomba ushauri kutoka kwa wa dada tu.

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Oct 9, 2012
184
24
Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26,maumbile yangu ya kiume ni makubwa kiasi cha kulizisha tu yani nnchi 7.3urefu na nnchi 2.1 upana,mwenzenu wakati wa kufanya mapenzi na chelewa sana kushusha mzigo kiasi kwamba mwanamke anaweza akashusha mla nne mimi mkavu!na sijawai kutumia dawa yoyote toka nizaliwe ya kuongeza nguvu wala nini na chakula nachokula ni chakawaida sana,je ni vizuri kuwa na ali kama hii,naombeni ushauli nijuwe kwani natafuta mchumba nisije achwa kisa ali hii.
 
unatumia muda gani kwa TICS wako kuruhusu kontena kushushwa, in minutes please.
 
Meaning hauna hisia, au hisia ziko mbali sana. Ana Heri yule ambaye yu na kiasi; yule ambaye ana hold kwa kupenda (na sio kwa kutoweza), kiasi kwamba anaweza amua acome at the same time ambapo mpenziwe anacome.
 
mie nilidhani mtu akitumia sabuni ndio anawahi kumwaga maana na sabuni anajipimia mwenyewe "mnato" wakati kitu origino mnato ni ule ule thruough out
 
Hahahahahahhaaaaa! Kalumekenge!!!!

umefurahishwa na huo upuuzi heee!ukweli ni kwamba sijawahi kufanya upuuzi huo toka nizaliwe,kwanza mapenzi ni kwa viumbe viwili vyenye jinsia tofauti wewe unafanya na sabuni si ndo mwanzo wa ushoga huo.
 
Sina uhakika na hiyo size uliyoandika. Unene huo na urefu huo wee punda?!
 
Back
Top Bottom