Naomba ushauri kuhusu Kampala University, nataka kuapply clinical officer 2016

SODOKA

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,658
722
Hello JF

Hope you are doing fine...ndugu zangu hiki chuo nakiogopa sana kwani kina mizengwe kibao,,mara kifutwe mara kirudishwe..nahitaji ushauri wenu

kutokana na vyuo vingi vya serikali vya afya kujaaa...na kutokana na cheapest fee nimeona KIU ada yao ni 950,000 per year kwa diploma ya clinical medicine na capacity ni kubwa wanahitaji watu 800 ...naogopa naomebeni ushauri kwanza bajameni
 
maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga
 
Kwa sisimini wa 1947 napata shida kuelewa watamudu vipi wanafunzi 800 wa mwaka mmoja. Hivi course hii ni ya miaka mingapi? Jumla itakuwa na wanafunzi wangapi? Wana wakufunzi wangapi? Nia yangu si kukatisha tamaa bali ningependa kujiridjisha uwezo wao wa kuhandle wanafunzi wote hao. Au technologia ya kufundishia imenipitia kando?
 
mie mwenyewe mpaka naogopa aiseee kuomba hapo,,,yaani capacity 800 halafu duration ni 3 years ndo maana huwa wanafungiwa hawa KIU
 
Kama uko karibu afadhali uwatembelee uone na ukipata anaesoma hapo akueleze. Isije walikosea 80 wakaandika 800. Lakini chukuwa tahadhari.
 
Back
Top Bottom