Naomba ushauri jamani nivumilie au nisepe?

jompyain

Member
Feb 15, 2012
29
9
Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo
kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado
mwake mwake sasa naogopa leo hivi akishanizoea nikiwa mke siitakua pilipili mti gani wakuinamaina.
 
Uamuzi ni wako bibie maana wewe ndiye unajua ukweli wa mambo, na ni wewe mwenyewe uamue ufanye nini maana hatujajua kama ni kweli unayosema maana hakuna kithibitisho kwa upande mwingine hayo uliyoyasema ni yako mwenyewe umeyaona na yamekukuta wewe na uamue wewe nini cha kufanya
 
haya mambo mwapaswa myaongeee mkiwa wawili na mkajua tatizo ni nini
Kwa nini hali yake iko hivyo
hali ya kuja kuainikana humu inaonyesha hata mawasiliano yenu yako mashakani
Ndo maana ndoa nyingi siku hizi matatizo matupu
Badala ya watu kushauriana na kumaliza mambo yao ndani ya kuta nne za master bed room wanayaanika kwa marafiki zao
Ndoa hapo haipo tena
 
Muwe mnaandaana kisaikolojia, siyo kukurupuka tu, hiyo inaweza kukusaidia. Maana usipokuwa na technique za kusaidiana kwenye hayo mambo utawajaribu wangapi??? Ukifanya mchezo na onja onja yako utaishia kuwa changudoa.
Take care!
 
haya mambo mwapaswa myaongeee mkiwa wawili na mkajua tatizo ni nini
Kwa nini hali yake iko hivyo
hali ya kuja kuainikana humu inaonyesha hata mawasiliano yenu yako mashakani
Ndo maana ndoa nyingi siku hizi matatizo matupu
Badala ya watu kushauriana na kumaliza mambo yao ndani ya kuta nne za master bed room wanayaanika kwa marafiki zao
Ndoa hapo haipo tena
hv huwa mnasimamisha kwa degree? au km au mnatumia si unit gani mkuu?
 
kama inaweza kuzama yatosha...hayo mengine ni hofu ya macho kwa kuwa unajaribu kufanya ulinganisho... kama ambavyo watu hawafanani kwa sura hata maumbile ni hivyo hivyo. Otherwise itisha gwaride la utambulisho ujichagulie kwa raha zako...
 
hv huwa mnasimamisha kwa degree? au km au mnatumia si unit gani mkuu?

Smile haya mambo ni more psychological than reality
There is no certain degree of erection to penetrate a woman but at certain level you will be able to do what u want to do
Akili kichwani kufikiria unafanya nini na vitu vingine vidogo dogo vinavyoleta ile hamasa ya kufanya hayo
Sasa mtu unakuta hata mawazo hana or hakuna hata hamasa au kuvutiwa kufanya kile kitendo hiyo degree ya kufikia maximum erection itatoka wapi
Waweza kukuta hata mhusika hapa ni mvivu sana kuleta hamasa ndo maana inakuwa hivyo mwenzake hafikii kiwango
 
90 degrees from which reference, from the vertical or from the horizontal? kwani akikumega 'mbuzi kagoma kwenda' au 'kifo cha mende' alignment ya mshedede ni ile ile?
 
tatizo la kujipendelea...mambo ya chumbani kwenu mngeyazungumza kwanza halafu ikishindikana tafuta ushauri.Leo huyu hakufai kwa sababu za degree 30, kesho mwingine hakufai kwa sababu inapinda pembetatu...unaenda kwa mwingine imekaa mshazari....tena unatafuta mwingine yake ndio inakaaa kabisa mduara.

Utapigwa danadana wee halafu mwisho wa siku wewe ndio mwenye tatizo...Ni mtazamo tu nauliza kama una kisima hivi choteo linapaswa kuwa degree ngapi vile?
 
kama inaweza kuzama yatosha...hayo mengine ni hofu ya macho kwa kuwa unajaribu kufanya ulinganisho... kama ambavyo watu hawafanani kwa sura hata maumbile ni hivyo hivyo. Otherwise itisha gwaride la utambulisho ujichagulie kwa raha zako...
wanaume mambo yenu mnakuwa wakaliii
 
Hiyo mbona inatokea sana tu !
sema hujawa muwazi kwamba mme do mara ngapi.Ila kama ni mara ya kwanza basi sio kwamba mshikaji ana tatizo,
hayo ni matokeo ya kukamia mechi inaonekana alipania sana kujipatia mautamu !!
Sasa next time we nenda nae mdogo mdogo na kila kitu kitakuwa byee.
 
Tulia na mtu wako

Jitengenezee awe unavyotaka, ni habari ya saikolojia tu hiyo
 
Hapo ni juu ya wewe kufanya maamuzi kusuka au kunyoa..
Ama nenda jukwaa JF Dr Mzizimkavu atakueleza umsaidieje mwenzio
 
Ahahahahaaaa...leo nimefurahi sana...mie yangu huwa naipima kwa seconds inazoweza kuhimili shughuli kabla sija-kojooo...sasa leo wewe unaipima kwa degrees...kweli wewe chiboko.

What if unapata inayosimama 90 deg ila inatumia 30 sec kukojoa..utafurahi enhee????
 
  • Thanks
Reactions: LD
Nimepata mchumba lakini nilipoamua kujuaana kivituzi..zzz nilihisi kama nguvu ni nindogo
kwani usimamaji wake sio wa digri 90 kama sio 100 na hasa kwa kimwana kama mie bado
mwake mwake sasa naogopa leo hivi akishanizoea nikiwa mke siitakua pilipili mti gani wakuinamaina.

Mtalimbo wake unalala doro wewe sepa hao hamu zao zinahamia kwenye kitolea taka za mwili
 
Badala ya kumwambia mwenye hilo tatizo ili mkae mjue mtalitatua vipi?...Sasa ukija kuanikana hapa JF itakusaidia nini wakati mwenye hilo tatizo umeshindwa kum-face na kumwambia..
 
Mimi sikushauri umwache kama kweli umempenda kaa naye chini umwambie ukweli kuwa hakufikishi,
Nendeni hospitali muongee na Doctor kwa uwazi bila kificho mtapata suluhishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom