Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Nashukuru mkuu, maana huu pia ni ushauri kutoka kwa great thinker!
MKUU saa nyingine unajibiwa upumbavu kwa sababu ya maswali ya upumbavu, hivi kweli kwa umri ulionao mpaka ukawa nje ya nchi na ukawa na akili ya kutafuta, apartment unaleta humu jamvini kwa Magreat Thinkerz swali la ujinga kabisa, unataka upewe ushauri gani kwa swali la umbumbavu namna hiyo,