Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

Zurich

Member
Aug 22, 2009
40
0
Nimepanga chumba katika flat ambayo tuko watu 4, wote ni wanafunzi,kutoka nchi tofauti(Spain, Peru,Poland, ) akiwemo dada mmoja, mtu wa Poland, kwa kweli huyu dada anapenda ngono maana nina siku tatu tu tangia nihamie hapa na tayari ame-import(awala) mara mbili na kibaya zaidi chumba chake kinatangamana na chumba changu, kelele zote za mahaba nazisikia live kana kwamba ziko uvunguni mwa kitanda changu, na kibaya zaidi upatikanaji wa apartment katika mji huu ni taabu kweli kweli, na tayari nina mkataba wa mwaka mzima wa kukaa hapa, ndugu zangu nifanyeje, maana hivi vishawishi vinaamusha tamaa kwelikweli lakini nataka nijiepushe hadi nitakapofikia muda wa kuoa, najua hapa kuna great thinkers naomba ushauri wenu.
 
Last edited:
Nimepanga chumba katika flat ambayo tuko watu 4, wote ni wanafunzi,kutoka nchi tofauti(Spain, Peru,Poland, TZ) akiwemo dada mmoja, mtu wa Poland, kwa kweli huyu dada anapenda ngono maana nina siku tatu tu tangia nihamie hapa na tayari ame-import(awala) mara mbili na kibaya zaidi chumba chake kinatangamana na chumba changu, kelele zote za mahaba nazisikia live kana kwamba ziko uvunguni mwa kitanda changu, na kibaya zaidi upatikanaji wa apartment katika mji huu ni taabu kweli kweli, na tayari nina mkataba wa mwaka mzima wa kukaa hapa, ndugu zangu nifanyeje, maana hivi vishawishi vinaamusha tamaa kwelikweli lakini natakata nijiepushe hadi nitakapofikia muda wa kuoa, najua hapa kuna great thinkers naomba ushauri wenu.
 
sijuhi kama kuna "mbuni" huko, lakini akianza kelele zake wewe kimbilia bafuni na anza "Kuoga"
 
sijuhi kama kuna "mbuni" huko, lakini akianza kelele zake wewe kimbilia bafuni na anza "Kuoga
:confused:

Nashukuru mkuu, maana huu pia ni ushauri kutoka kwa great thinker!
 
Kula mzigo acha ushamba......! Mpira unadunda-dunda mbele yako unageuka nyuma....utafungaje magoli? The trick in life is that open your eyes wide before marriage, then keep half-shut afterwards.....!
 
Ila sitaki kuchanganya mapenzi ma masomo, nataka kukamilisha lengo ili baadae nirudi kuongeza nguvu katika nchi yangu.
 
dogo soma, hicho ndo kilichokupeleka huko. Ukisikia sauti zinaanza kama ni mchana au jioni ondoka zako kafanye shughuli zingine au piga mziki sauti ya juu. Pole sana.
 
Nemesis, nimekupata mkuu heshima!
 
Nimepanga chumba katika flat ambayo tuko watu 4, wote ni wanafunzi,kutoka nchi tofauti(Spain, Peru,Poland, TZ) akiwemo dada mmoja, mtu wa Poland, kwa kweli huyu dada anapenda ngono maana nina siku tatu tu tangia nihamie hapa na tayari ame-import(awala) mara mbili na kibaya zaidi chumba chake kinatangamana na chumba changu, kelele zote za mahaba nazisikia live kana kwamba ziko uvunguni mwa kitanda changu, na kibaya zaidi upatikanaji wa apartment katika mji huu ni taabu kweli kweli, na tayari nina mkataba wa mwaka mzima wa kukaa hapa, ndugu zangu nifanyeje, maana hivi vishawishi vinaamusha tamaa kwelikweli lakini natakata nijiepushe hadi nitakapofikia muda wa kuoa, najua hapa kuna great thinkers naomba ushauri wenu.

Kama unakerwa na makelele ya huyo mwanamke muabudu ngono, peleka malalamiko yako kwenye mamlaka husika kwa maana anayehusika na hayo makazi.

Kama tatizo ni wewe kutamanishwa na huyo mdada hilo ni tatizo la kujiendekeza mwenyewe na uamuvi ni wako, kucheza na nyani na kuvuna ubua au kufanya vinginevyo. Kumbuka kuna herpes na HIV na pia matarajio yako ya uliyoyajenga kwa miongo kadhaa yanaweza kutoweshwa in amtter of seconds kwa starehe ya sekunde zisizozidi 20(nadhani wewe ni mtu mzima sasa umenielewa, eeh?)

Haya kila la kheri
 
Bwana Abdulhalim Nashukuru sana, ila pia muda si mrefu nimetoka kuongea na huyu dada, na ameahidi kutorudia, na kama hii hali ikiendelea, nitatoa ripoti kwa mwenye nyumba.
 
Ruudi Bongoland kamchuke demu wako kaka, kama vipi nenda kawaambie ukweli kuwa unaboreka na style yao ya kupigana mabao. Wewe mbongo bwana wabongo kwa ubishi si tunatisha. Sasa unaogopa nini kijana wangu ina maana ule ujasiri wa Sekondari umeshakutoka baada ya kufika ng'ambo. Take action man then utujulishe
 
Dogo vihela vyake anataka akirudi bongo awe na kisaloon na anunue kivuko kule kigamboni....hata mlo wake huko nadhani ni apples na mikate! Lazima awe muoga hajui huko aliko kila mtu anauhuru wake ukizingatia amelipia rent kama yeye!
 
Bwana Abdulhalim Nashukuru sana, ila pia muda si mrefu nimetoka kuongea na huyu dada, na ameahidi kutorudia, na kama hii hali ikiendelea, nitatoa ripoti kwa mwenye nyumba.

kwa nini usipige chabo kujua kulikoni???labda wanagombana tu kikware.
 
Duh kwanza hukusema wewe ni mvulana au msichana ila dawa ya moto ni moto cha msingi na wewe tafuta Goma yaani beiiiby na kisha ulipize tena wewe sauti iwe mara mbili ya yeye nikimaanisha hata ukiguswa kidole Utoe ukelele wa kufa mtu '' ooooh baby im cuming..!!
 
Bwana Abdulhalim Nashukuru sana, ila pia muda si mrefu nimetoka kuongea na huyu dada, na ameahidi kutorudia, na kama hii hali ikiendelea, nitatoa ripoti kwa mwenye nyumba.

Umefanya vyema kiongozi,

Usikonde ndio kidunia hivyo, usijekuta huyo mdada 'anauza' kwa sababu ktk muda wa siku 3 umeona ana partners 2 hiyo sio kitoto, nadhani muelekeo ni huo. Hata hivyo usimtilie maanani na maisha yake, wewe simamia mipango ya maisha yako.
 
inawezekana huyo nyapu anakuzimia tu kwahiyo anataka kukurusha roho na kwa staili hiyo hataendelea muda mrefu mlie bati tu,akiona unampotezea ye mwenyewe atazima fegi,usikonde mkuu
 
Back
Top Bottom