Natafuta kazi nipate hela ya ashule

Babu mchumi

Member
Jul 5, 2011
62
11
Habari zenu tha great thinkers!
Nitangulize shukran kwa watakao nielewa vizur,mimi ni kijana wa kiume umri(24) naishi dar,natarajia kujiunga na chuo mwaka huu
jaman natafuta kazi ambayo nataraj itanisaidia kupata fedha zitakazonisaidia kuendesha shule yangu kwan hali ya wazaz wangu kiuchumi sio nzur na umri unazidi kwenda naelekea kujitegemea,elimu yangu ni form six nilipata dv 1.8 HGE
nimeamin nitafanikiwa kupitia humu
natarajia lugha nzuri kwa wana Jf,much thanks
 
Ebu weka sawa: Unategemea kwenda chuoni, then unataka kazi, sijakuelewa!!!
 
Chuo chenyewe ni kipi? unahitaji hela ngapi? na kwa kusoma sawa sawa unahitaji ma saa mangapi? balance kwanza vyote hivyo ndio tukupe ushauri mzuri.
eg: masomo ni 8 hrs per day (day time). kwa hiyo nahitaji kazi isiyo zidi 6 hrs ili nipate 2 hrs za usafiri na 8 hrs ya domestic time (kulala, kula, kufua na kadhalika). Course yangu ni 1.2 M per anum hivo nahitaji kazi inayo lipa at least 180.000tsh kwa mwezi ili nilipe shule na nyumba na chakula.
Alafu wana JF wakusaidie kutafuta hiyo kazi ya bila degree, 180/month na kufanya kazi ma saa 6.
 
Chuo chenyewe ni kipi? unahitaji hela ngapi? na kwa kusoma sawa sawa unahitaji ma saa mangapi? balance kwanza vyote hivyo ndio tukupe ushauri mzuri.<br />
eg: masomo ni 8 hrs per day (day time). kwa hiyo nahitaji kazi isiyo zidi 6 hrs ili nipate 2 hrs za usafiri na 8 hrs ya domestic time (kulala, kula, kufua na kadhalika). Course yangu ni 1.2 M per anum hivo nahitaji kazi inayo lipa at least 180.000tsh kwa mwezi ili nilipe shule na nyumba na chakula.<br />
Alafu wana JF wakusaidie kutafuta hiyo kazi ya bila degree, 180/month na kufanya kazi ma saa 6.
<br />
<br />
nashukuru sana,nitafurah sana kama nitapata masaa sita ya kazi tena niwe naingia jioni ili mchana nitumike chuoni,natarajia kusoma chuo cha IFM
 
umeomba mkopo? loan boad wameongeza dau 7500 per day kwa mwezi = 225,000/= kwa wewe mwanafunz inakutosha sana ukitumia vizuri, enzi mi nasoma IFM tulikuwa hatupat muda hata wa kupumzika sasa kama wewe utapata hadi wa kufanya kazi sijui. labda kama masomo yamekuwa legelega au unasoma social security.
 
kwa point zako mbona unapata mkopo wa bodi bila tatizo?sioni kwanini ujizidishie mzigo wa kufanya kazi na kusoma,kwa elimu yetu ya hapa bongo mazingira yetu kwa kusoma na kufanya kazi itakusumbua sana,sisemi haiwezekani,ila itakusumbua.nadhani ukipata posho ya 7500 kwa siku,posho za stationery na za field zinatosha kusukuma life kiaina,labda kama una factors nyingine zinazokufanya utafute kazi poa
 
Ulinzi wa benk au visima vya mafuta/shift ya saa 4 ucku mpaka monie/ utaweza?, niPM nikupe kazi ili upate pesa ya kula, IFm mateso Babu mchumi kama unategemea boom!
 
Back
Top Bottom