Naomba updates za form six leo

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,544
1,760
Hello jf,
Leo mitihani ya kidato cha sita imeanza,imefanyika au laa,na wale wanafunzi wa ndanda wanafanya mitihani kama kawaida au laa?
Nipo sehemu ngumu kidogo kwa redio kushika.
 
Imekaa kiunafiki hii. Mitihani f6 inaaza leo, mambo ya ndanda ni heri umuachie Ndanda Kossovo mwenyewe na bendi yake.
 
Imekaa kiunafiki hii. Mitihani f6 inaaza leo, mambo ya ndanda ni heri umuachie Ndanda Kossovo mwenyewe na bendi yake.

Mnafiki ww uliewaza unafiki kabla huja post..sorry mods..kaniudhi huyu.Hacha greater thinker wachangie na sio ww mpita njia.
 
Back
Top Bottom