Naomba up date za Arumeru waungwana

wewe huna tv au redio chalii yangu?nani akutafunie umeze 2?nakutania subiri nisake nirushe mavituuz
 
Ahahahaha sas si unajua watu watu hm wanazo hata za china ya capte hata nyingne amabzo hazijapakuliwa kwenye tv na radio advantage hyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom