Naomba unilock no za modem

OPTIMISTIC

Senior Member
Mar 12, 2011
125
20
Naomba msaada wa unlock no ya ZTE modem ya safaricom niweze kuitumia kwa sim card za TZ, IMEA NO:351817040823538, model: MF637U
 
Naomba msaada wa unlock no ya ZTE modem ya safaricom niweze kuitumia kwa sim card za TZ, IMEA NO:351817040823538, model: MF637U

mzee mbona kuna special thread ya kuomba unlock code,,!!!i suggest u post hapo instead of increasing no of topics in this section!!
 
aya unlocking code iyo apo 37199190 but sidhani kama njia yake ya kuunlock utaitumia hii unlock code lakini hii ndio utakayopata pengine piya.... ya iyo modem yako ni model mpya kdogo sijui kama inaweza kuunlokiwa kwa kutumia hz njia za unlock code but still try
 
Thanks, ila nimejaribu kuweka hizo no naona sehemu ya ok haiko active ni sehemu tu ya cancel ndo active, pls any other option!!
 
Nashukuru sana kwa misaada ila nimeijaribu hiyo no bado haijafanya ok haikoactive, seems mpaka digits ziwe 16, naendelea kuomba msaada wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom