Naomba ujikaze, najua utalia sana!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,271
Naomba ujikaze, najua utalia sana, mimi mwenyewe nilivyoambiwa na dokta leo mchana, niliogopa na nilikusikitikia sana, ila tulia na utafakari kiutu uzima nikwambialo
BEI YA KITIMOTO I MEPAND A SANA.
 
Hapo kweli umeniweza! &lt;br /&gt;<br />
Nilifikiri una ishu heavyyyy!&lt;br /&gt;<br />
Thanx lakini!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Mda wote tumenuna na dude liitwalo ccm! Angalau tucheke kidogo japo ni ukweli kiongozi!
 
Kichwa cha habari kimenishtua sana. Yaani unawaomba watu wajikaze maana unajuwa watalia sana. Duh!
 
Dah! nimeifungua kwa masikitiko nkidhan mambo ya angaza! kumbe kitimoto! ila kama kamepanda bei itakuwa ishu!
 
nadhani tuwe na na utaratibu wa kuandika heading, wakati mwingine post kama hii kabla ya kuifungua wengine huwa tunasali kwanza sasa unapoingia na kukuta upuuzi haipendezi kwa mungu na huwenda yakakukuta
 
mhh!!
Kweli Watanzania 2nakazi.

Afande shimbo Kala mahela we unaleta Mada za viti MOTO humu.
 
CCM! CCM! CCM! hamtaiweza na mtazeeka mkisema hivyo hivyo, aliishindwa mababa zenu sembuse nyinyi? sana sana mtapigwa mabomu, mwishie kupata vilema bila sababu! kisa? kuwatafutia watu ulaji!
 
matoto ya chadema bana! yanawaza kitimoto na mbege tu..............Mkichukua nchi fanyeni vyakula vya taifa!
 
Ungeichomekea ktk maoni ya mshkaji yeyote na si kuiweka kuwa heading. Unamaanisha nini hasa sijakupata. Ila kwa hisia zangu una misingi ya kiimani ya kidini zaidi nahisi unalenga kundi fulani la kidini jambo ambalo si zuri sana hapa. Samahani kuingilia uhuru wa mawazo
 
SASA wana JF tunaenda pabaya! mmefikia kuingilia hata jeshi? hii ina maana hata hicho mnachotafuta hamtakipata. muulize Dkt. Slaa alichoambiwa mpaka akaacha kuizungumzia meremeta. jeshi ni jeshi, wale hawavai kumbati kama za mbowe! hawana utani tuzungumzie mengine.
 
maskini weee sasa itakuaje mwenyewe nilipania sana kwenda kupata thupu ya hio kitu ili nipate nguvu ya kutembea kidogo maana filling station zote zimefungwa.....duh
 
Back
Top Bottom