Naomba Ufahamu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Heshima yenu wakuu
Kama jambo hili litakuwa si mahala pake naomba mnistahi.

Nahitaji kufahamu kwa kina ama undani wa charges za kuingiza gari nchini baada ya malipo ya CIF inakuaje. Na gari hiyo tuseme ni ya cc 2000 na CIF ni US$ 2800. Nahitaji details za kitaalamu hasa kama ni za port charges inakuwa percent ama kiwango gani, pia gharama za TRA na za Clearing agent. Pia gari iwe hailipiwi uchakavu nikiwa na maana imetengenezwa miaka ya 2002 kuendelea juu . Vilevile ningependa nifahamu gharama za usajili na mengineyo kwa ufafanuzi zaidi tafadhali. Hii ninamaana ni mpaka pale gari unakuwa nalo mwenyewe barabarani.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Back
Top Bottom